Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alikuwa anakushona kinoma. Maana dose tatu ungenunua 36k angefunga faida yake ya 33K.
 
Nyie ndio mkifika apa BL soda moja mnaangalia game zote za Jmosi.
Leo ukija jitambulishe upate angalae bia mbili upunguze ugumu wa maisha
 
Udalali wa bongo na ujambazi umetenganishwa na uzi mwembamba sana
 
Sawa mwakasege.
 
Huyo alikuwa anafanya wizi , kwa maelezo yake alipewa duka la magodoro auze, magodoro yanabei elekezi , aliyemkabidhi duka la magodoro alikuwa anamlipa mshahara .
Yeye anataja bei ya juu kulipo bei elekezi .
Huo ni wizi wala sio udalali
Boss akupe mshahara hana akili ....anajua sana kuna genji za hapa na pale.
 
Umejitambulisha vizuri
 
Kwa tafsiri hiyo kila mtu ni mwizi hata wewe.

Kuuza mali kwa super profiteer unakuwa mwizi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…