Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu tukuhudumie Muuza magodoro mstaafuSawa muuza makange mna makange mazuri sana.
Miso?Piga kwa sababu hata wewe kuna mahali unapigwa hivyo hivyo.
Kuna dawa juzi nimeenda kuchukua inauzwa tsh 1,000 ila yule dada mfamasia akasema 12K, nikacheka nikamwambia dada mi mwenyewe mfamasia tena mfamasiala haswa nipe bei nilipie nichukue changu, kwa aibu sana akaniuliza unahitaji ngapi, nikatoa 10K nikamwambia kata 3 nipe chenchi. Akarudisha 7,000 yangu nikasepa. Ningekua sijui bei ningepigwa.
Misoprotol.....sema wauza dawa maharamia sana.Miso?
Sana sana.Misoprotol.....sema wauza dawa maharamia sana.
Matapeli sana.Ila madalali wa Dodoma wamezidi....🙌🙌🙌
Dawa ya 2k unauziwa 30k na ukikaa vibaya inaweza kuwa feki au ime-expire...combekit zile za vidonge vitano bei gani chimbo?Sana sana.
Uwizi huu...Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati.
Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000 basi godoro ningeliuza tsh 230,000.Ilikuwa godoro halitoki bila mimi kupata hata tsh 15,000 minimum
Nakumbuka kuna mzee mmoja mshabiki wa liverpool alikuja akanikuta nimelala akaniuliza "godoro 5 kwa 6 inchi 8 bei gani" mimi kwa wenge la usingizi nikaropoka tu "laki nne" wakati godoro bei yake ni tsh 210,000 yale ya kitambaa tunaita kashata.
Yule mzee bwana akaingia kwenye kiraumu chake akivuta kibunda cha milioni akanichomolea laki nne akaniuliza "na usafri vipi hakuna kirikuu??" nikamwambia "bodaboda mbona inabeba nalifunga freshi utanipa tsh 20,000 ya usafiri"...mzee akalipia usafiri akanielekeza kwake nikaita boda nikampa tsh 2000(hiyo sehemu gharama yake ni buku) kwahiyo nikawa nimepiga mshindo wa tsh 208,000.
Nilijifunza kitu kuna watu wana hela kiasi kwamba hata ukiwapiga ni sawa na unajiibia mwenyewe imagine hiko kilikuwa kipindi cha anko MAGU.
Jana nilikuwa maaneo ya BL park nachek game ya aseno nikamuona yule mzee niliyemdalalia tsh 200k bado anadunda tu wakati mimi bado najitafuta hahahaha.
Najua mpo wenzangu wengi ambao mmepiga sana mishindo ya udalali(Genji) na bado life ni vita karibuni.
Ahhhaaa, leo nimemdaka mwizi wangu! Kumbe ndivyo ulivyonipiga? Sema tu na mimi nilikuwa na wenge la hayo mahela ya bure, maana na mimi nilitoka kumpiga mtu ndiyo maana hata sikuhangaika kuulizia punguzo!Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati.
Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000 basi godoro ningeliuza tsh 230,000.Ilikuwa godoro halitoki bila mimi kupata hata tsh 15,000 minimum
Nakumbuka kuna mzee mmoja mshabiki wa liverpool alikuja akanikuta nimelala akaniuliza "godoro 5 kwa 6 inchi 8 bei gani" mimi kwa wenge la usingizi nikaropoka tu "laki nne" wakati godoro bei yake ni tsh 210,000 yale ya kitambaa tunaita kashata.
Yule mzee bwana akaingia kwenye kiraumu chake akivuta kibunda cha milioni akanichomolea laki nne akaniuliza "na usafri vipi hakuna kirikuu??" nikamwambia "bodaboda mbona inabeba nalifunga freshi utanipa tsh 20,000 ya usafiri"...mzee akalipia usafiri akanielekeza kwake nikaita boda nikampa tsh 2000(hiyo sehemu gharama yake ni buku) kwahiyo nikawa nimepiga mshindo wa tsh 208,000.
Nilijifunza kitu kuna watu wana hela kiasi kwamba hata ukiwapiga ni sawa na unajiibia mwenyewe imagine hiko kilikuwa kipindi cha anko MAGU.
Jana nilikuwa maaneo ya BL park nachek game ya aseno nikamuona yule mzee niliyemdalalia tsh 200k bado anadunda tu wakati mimi bado najitafuta hahahaha.
Najua mpo wenzangu wengi ambao mmepiga sana mishindo ya udalali(Genji) na bado life ni vita karibuni.
Sio matapeli, ila wana tabia zao wenyewe wanazijua.Matapeli sana.
Lakini c unajua hata maandiko matakatifu yanakataa hiyo kaziBwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati.
Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000 basi godoro ningeliuza tsh 230,000.Ilikuwa godoro halitoki bila mimi kupata hata tsh 15,000 minimum
Nakumbuka kuna mzee mmoja mshabiki wa liverpool alikuja akanikuta nimelala akaniuliza "godoro 5 kwa 6 inchi 8 bei gani" mimi kwa wenge la usingizi nikaropoka tu "laki nne" wakati godoro bei yake ni tsh 210,000 yale ya kitambaa tunaita kashata.
Yule mzee bwana akaingia kwenye kiraumu chake akivuta kibunda cha milioni akanichomolea laki nne akaniuliza "na usafri vipi hakuna kirikuu??" nikamwambia "bodaboda mbona inabeba nalifunga freshi utanipa tsh 20,000 ya usafiri"...mzee akalipia usafiri akanielekeza kwake nikaita boda nikampa tsh 2000(hiyo sehemu gharama yake ni buku) kwahiyo nikawa nimepiga mshindo wa tsh 208,000.
Nilijifunza kitu kuna watu wana hela kiasi kwamba hata ukiwapiga ni sawa na unajiibia mwenyewe imagine hiko kilikuwa kipindi cha anko MAGU.
Jana nilikuwa maaneo ya BL park nachek game ya aseno nikamuona yule mzee niliyemdalalia tsh 200k bado anadunda tu wakati mimi bado najitafuta hahahaha.
Najua mpo wenzangu wengi ambao mmepiga sana mishindo ya udalali(Genji) na bado life ni vita karibuni.
Ukiuuza kitu kwa faida kubwa ni wizi kumbe.Uwizi huu...
Hawakwepekimawinga
Fanya upunguze kitambi sasa mzee wangu.Ahhhaaa, leo nimemdaka mwizi wangu! Kumbe ndivyo ulivyonipiga? Sema tu na mimi nilikuwa na wenge la hayo mahela ya bure, maana na mimi nilitoka kumpiga mtu ndiyo maana hata sikuhangaika kuulizia punguzo!