Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alikuwa anakushona kinoma. Maana dose tatu ungenunua 36k angefunga faida yake ya 33K.
Angenishona haswa kama fala mmoja(sijui nimuite mjanja maana alinipiga parefu) aliwahi niotea akanibamiza kweli kweli na nilikuwa safarini. Nadhani kwenye dawa napo watu wanapigwa sana.
 
Bila shaka hiyo laki mbili ulienda kula mbususu ya mrembo uliyekuwa wamfukuzia 🀣🀣🀣🀣
 
Ni wizi ndio ila ndio cha juu chenyewe.
 
Fisadi naye ni mwizi, tena mwizi mkubwa.

Unazungumziaje maisha ya Seth wa IPTL, maisha ya late Lowasa, maisha ya ..., maisha ya madelu.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… pole yake.
 
Juzi nilikuwa kwenye mgahawa na rafiki zangu. Tumemaliza kula tukaletewa bili ambayo ina mashaka na mhudumu akaleta risiti ya TRA.
Tukamwambia ondoka tutakuita. Tukaenda kufuatilia bei, tukakuta kaongeza elfu 17.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…