Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

Pole sana.
 
Nilifanya kazi na "WAPALE" kwenye ofisi Moja

Aiseee Hawa watu ni noma sana aisee

Sitakuja kusahau jamaa ni wanafki sana

Yaani ni hatari...Wana majungu sijwahi ona...
Kuna mmoja nafanya nae anachuki sana elim yake ndogo dili wakipiga wasomi anataka apate pasu pasu anaroho ya kukunja anajisifu alivo waharibia walio pita kabla
 
Kazini siyo sehemu ya kutafuta marafiki.

Wewe nenda kazini, fanya kazi, rudi nyumbani, subiri mwisho wa mwezi ulipwe. Period.

Makazini kuna kanuni moja ni lazima uizingatie sana. Inasema, 'never outshine your master'. Yaani ukiwa mjuaji tu utakuwa na mwisho mbaya.

Kazini unatakiwa ujifanye mwerevu na mjinga at the same time.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa
 
Kuna mmoja alikuwa ni my immediately Boss so naongea nae fresh ananiambia nipeleke request fresh, nikipeleka anamshauri CEO akatae na kumpa sababu ambayo kimsingi ni kama kunibania, hali hii aliifanya kwa wengi, so akawa adui kwa kila mtu...... kuna siku alipigwa transfer moja ya hatar kbs!
 
Mwisho wa ubaya siku zote ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…