Wanatuona vile vile tu kama tulivyoonekana 2015.Haya yaliyofanyika ni too much mpk aibu. Tz sijui tunaonekanaje
Alisema alishatubu. Maisha yanaendeleaHongera ndugu kwa kusema ukweli nakushauri pia uende kutubu kwa ajili yako ili usiwe mmoja wa washiriki wa hii dhambi na uovu huu mkubwa uliofanyika mbele ya uso wa Mungu.
Watanzania wengi sana bado hawana akili na jana limenitokea na nimethibitisha kuwa wengi wetu hawana akili.Katiba iliyopo watu wameshindwa kuitumia.
Magufuli kapiga marufuku mikutqno kinyume na katiba.
Hiyo mpya mkipewa halafu akaivunja hivyo hivyo, mtafanya kipi cha tofauti?
Mimi naona katiba mpya ni muhimu, ila mara nyingi inafanywa kuwa kisingizio tu.
Katiba haileti mabadiliko. Watu ndiyo huleta mabadiliko.
Sasa kama watu hawana muamko, katiba mpya utasaidiaje?
KUHUSU mawakala waondolee dhambi kwani wengi walikuwa na akili ya Hali ya juu.Majuto ni mjukuu. Sasa mmeturudisha kwenye utawala wa Chama Kimoja. Sio peke yenu. Hata mawakala wa vyama vya upinzani wamechangia haya
Magufuli atasema ameshinda ila CCM na TANZANIA kwa ujumla tumepoteza
Bado ni ukweli mkubwa kupata kutokeaMaendeleo hayana vyama ...
Ndo kitabu pekee kinachotupa mwangaza wa maisha yetu chini ya juaAcha kuingiza biblia kweny Mambo ya dhuluma
Kweli?Hiyo katiba mpya itapatikana vipi bila CCM kuwekwa oembeni kwanz?
Nionavyo ili CCM itoke cha kwanza System ya nchi iwachoke hapa nazungumzia TISS na JWTZ
AhahahKwakweli mnalalamika mpaka roho inaniuma poleni sana wajameni ndio siasa hiyo jipangeni kwa uchaguzi ujao..
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mawakala waliambiwa hawatopewa barua za utambulisho baada ya kuapa bali tume yenyewe ndo itapeleka barua kwa wasimamizi wa vituo. Kua sehemu nyingine tume ilipeleka na sehemu nyingine haikupeleka kabisa. Na huwezi kuipangia tumeShida inaanzia hapo sasa. Kwanini hawakupewa barua? Kwanini walisubiri mpaka siku ya Uchaguzi then wakaibukia pale bila barua? Yaani sehemu nyingi Upinzani ulijiandaa/uliandaliwa kupigwa mapema.
Mambo ni mengi sana ya kujifunza na kuchukua hatua. 2025 sio mbali sana.
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisaa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.
Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.
Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?
Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.