ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,490
Naomba namba ya simu ya Mh. Hashim Rungwe aka mzee wa ubwabwa na kuku wa kienyeji nataka nimpongeze na nimchangie gunia moja la mpunga wa hapa Kyela. Alipotangaza wali na kuku wa kienyeji kasababisha kuku wa kienyeji wamepanda bei. Naombeni comedian mumshirikishe hata part moja tu katika filamu zenu.