unaona sasa!Sina hata mia nna njaa kisnge! Nisababishie hata jero hapo mwanetu nipate kutia hata muogo mmoja kwa tumbo🥱
We ni nyoko! Eti new born😆Hata ukiwa new born, Kuna mambo automatically lazima uwe na uelewa nayo
Hiyo itakuaa tafsiri mbovu ya mtapeliwa.Ndio maana kutapeliwa kwingi hakuishi, yaan mtu avae suti basi ni mtu wa busara na hekima?
Woiiiih
Niliwahi kwenda kupeleka barua pale Caterpillar yule dada alinionea huruma akanipa nauli kwa vumbi la viatu nililokua nalo maana nilitoka Posta nikavuruga Kariakoo nikaenda pale hapo nina nauli moja tu ya kurudi wale jamaa walikuja kunipigia simu baada ya kupata kazi nilirudi kuwashukuru kwa utu wao..Jero tu Mtaani taabu..jamaa anaongelea elfu 5...! Unafiki na kiburi Cha Kibarua alichonacho...
Hali ni ngumu.sana kitaa..Mtu anatembea kwa miguu na bahasha kusaka kazi hana hata mia ..
Mm mwnyw sina kitu nna makende tuu hapa, nilikuwa nakupigia simu unihonge hata buku ila simu yako haipatikani 😎Mtumie jamaako ata teni akanunue atture utumishi hawachekeshi😁
Usiache hivyo songa mbele mwanangu, na usiache kujipenda na kujitukana na kujiomba msamaha psycho🤣Naam, ndo mana napata muda wa kufungua I'd zingine ili tuu niwapelekee moto 😎
Maisha magumu yataniua 🙆
Pole , utaendaje hivyo sawa na wewe kwenye interview watumishi wa umma ni wapi na wapi pamoja na t-shirt & jeans.Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Ndio, mbona unanipotezea mkuu, una buku hapo?🫢unaona sasa!
umeanza kuja kwenye usahili ukiwa umevaa na t-shirt jinsi kama mtoa hoja, tena hadharani kabisa kupitia Jf, si ndio?🐒
Walivyoona ni TRC mawazo yao yakajenga picha za kufanya ufundiufundi wa kushika grisi na kuziba pancha matairi ya treni.Malalamiko yako hayana tija, kila sehemu kuna mavazi yake ya kuvsa. Hii halihiitaji hata uambiwe au tangazo.
Au sio 😂Usiache hivyo songa mbele mwanangu, na usiache kujipenda na kujitukana na kujiomba msamaha psycho🤣
Buku ili ujiunge bando lingine uje kunawatukana members na kuwaita makapuku huku hujala siku 3😁Mm mwnyw sina kitu nna makende tuu hapa, nilikuwa nakupigia simu unihonge hata buku ila simu yako haipatikani 😎
Kama n hv bc hata hizo tshirt na jinsi bado n kosa, alitakiwa aende na nguo zimejaa oil tupu Au zile nguo maalum za ufundiWalivyoona ni TRC mawazo yao yakajenga picha za kufanya ufundiufundi wa kushika grisi na kuziba pancha matairi ya treni.
Kabisaa!Au sio 😂
Kula nitakula tuu, bando muhimu ili nitoe stressBuku ili ujiunge bando lingine uje kunawatukana members na kuwaita makapuku huku hujala siku 3😁
Au sio🤣Kula nitakula tuu, bando muhimu ili nitoe stress
Uko sahihi kabisa mkuu, lakini serikalini hakuna atakayemsikiliza, ndiomaana hapa wanatumia njia ngumu kumueleza ukweli ndio huo!Swala la nguo sio rahisi kama mnavyoongelea aisee life bongo ni ngumu sana tusaidiane tusilete dharau kwa wasiojiweza...
Watu wananunua nguo ngumu na viatu vigumu sio kwa fashion ili kuvuta tu muda mpaka mambo yaende sawa mimi siwezi kumlaumu mtu hana kitu fulani na huku kazi hana...
Hivi tshirt na jeans vina shida gani? Au raba?Unaenda kwenye usaili umevaa tshirt na jeans? Hili wala halihitaji muongozo
Wapo sawa tu kuwachomoa
Hoja unayo nzuri tu.Lakini,kuna wale wenzangu na mimi ambao mavazi si shida kuyamiliki.Changamoto yao ni aina gani wavae.Zamani zile zangu za utineja hadi early 30s nilikuwa sipendi tu kuvaa suruali za vitambaa,mashati ya kawaida(viscose kwa mfano)na viatu vya kawaida kiofisi.Nilipenda jeans,kadeti ngumu,ma-timberlands n.k.Leo hii nimekubaliana na hali.Mvi nitetee!Swala la nguo sio rahisi kama mnavyoongelea aisee life bongo ni ngumu sana tusaidiane tusilete dharau kwa wasiojiweza...
Watu wananunua nguo ngumu na viatu vigumu sio kwa fashion ili kuvuta tu muda mpaka mambo yaende sawa mimi siwezi kumlaumu mtu hana kitu fulani na huku kazi hana...