Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Mimi sikusubiria aliwe nilikuta sms ndo wanachati na jamaa yani wanatongozana sikuiyo iyo nilimfukuza akaenda kwao tangu mwaka 2018 hadi leo ni single mama aliyekubuhu na hajaolewa anagawa utamu tu uko mimi nilioa mda sana
Haaa Ulimtimua Haraka Sana Kama Jiwe Alivyomtengua Ernest Mangu
Halafu Akamteua Simon Siro Ofisi Moja


Kama Mpaka Sasa Ni Single Mom πŸ‘©
Yule Jamaa Alimdanganya Tu
 
aiseee wee kweli noma mwanawane unapiga shot on target goli hakuna kukosea
 
aiseee sii mchezo hapo mwisho umesemaje vile...ulitaka upote na lecturer mwenye au kichwa changu maji
 
Niliwaambia watu humu kwamba demu akitombesha nje kama unaishi naye ushamzoea,ukichovya utaona tu tofauti wala hata huchunguzi.

NB:Ukiona mkeo a akupa excuses kibao ukihitaji mzigo hasa km umerudi ghafla toka safari,anza kufuatilia.
Mkuu ukichovya unahisi nini?. Hebu fafanua. Maana mtoa mada akujua kitu mpaka ameona live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…