Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Una mis concept ya mimi kusema mtu anayekucheat anakuona mjinga.

Ndio anakuona mjinga sababu ana hope hautakuja kugundua.

Pamoja na sababu zingine za kwanini wanacheat hii nayo naiweka kama mojawapo.
Bado hiyo haimaanishi lazima kakuona mjinga. Tena inaweza kuwa kinyume chake. Amefeli kama binadamu na hataki kukuumiza. Kajua ukijua utaumia.
 
Hapa wakoment walio

WALIOWAHI KULA WAKE ZA WATU

WALIOWAHI KULIWA WAKE ZAO.
Tofauti na hapo wengi watamshangaa mtoa maada.

Kula mke wa mtu huku ukijua kua ni MKE WA MTU hiyo ni dharau kubwa sana kwa MMEWE.
Vingi naona ni mihemko tu na kutokujua hii situation ilivyo
 
Lengo la hii adhabu inakuwa ni kumuumiza au nini?
 
Wewe haujawahi kuoa ndio maana unaongea upuuzi kiasi hicho
 
Aisee kwa ninyi munaoongea kirahisi bila shaka hamjaoa....mimi nilioa kumbe Kuna mchungaji akimuita kaka tangu namchumbia na hata mama yake aliniaminisha hivyo kuwa ni ndugu yao kiukweli sikuwa na shaka nae kabisa...na yule jamaa mara Kibao alikuwa anakuja mjini tulikokiishi anakaa hadi siku 2 mimi najua ni ndugu yake...mpaka siku ya siku ndipo nikafumania live sebuleni kwangu...
 
Huyo mzee wako ni mpuuzi na mnyonge...ni jino kwa jino
 
Mimi mmoja alikunikuta namfanyisha mazoez mke wake usiku na alikua na kisu..na ukweli ni kwamba mke wake nilikua namla ovyoovyo...ingawa hakufanya kitu na asingeweza kufanya kitu...lakini nilijitafakari sana..pamoja na kisu chake ningemdunda sawa..je akinivizia na mshale je au akodi bunduki??...ingawa hakuwahi kunikuta nikimla.tufikiri mara mbili kabla ya kula wake za watu
 
Hii mbaya bro ,kwann unenepeshe mamanzi afu waje kuliwa na wengine
 
Ukimchunguza sana bata hutamla, usimchunguze mwenza wako hii ni kama unampenda sana maana yake nini ni kwa kuwa yeye ni binadamu ana mapungufu yake anaweza kuwa msiri akakupa suprise hiyo na upate heart attack ila zipo sababu nyingi mpaka mwenza wako akusaliti, huwa tupo busy kumkasirikia mwenza wako aliekusaliti na kumlipizia mabaya kumbe chanzo ni wewe mwenyewe kuna vitu unapaswa kutopuzia pale mwenza wako anapokua analalamika mara kwa mara hivyo ndiyo upelekea usaliti,pia la muhumi utegeme lolote kutokea kwenye mahusiano usimwamini sanaa hata kama hana dalili ishi kimtazamo tofuati itakusaidia
 
Achana na mentality ya kizamani hiyo utaumia eti usimchunguze Bata, nope Kuna jamaa kauliwa na mchepuko wa mkewe kisa wivu, yani mchepuko anafika HATUa ya kua na wivu na mkeo kukuzidi wewe mpaka ana kuua eti Kwa Nini upo na mpenzi wake ilihali we ni mume halali, acha hiyo mentality utaumia, na utapoteza kabisa mpe talaka muachane KIROHO safi
 
Nimekuelewa, upo sahihi.
 
Huo mchepuko alieupa access to your family ni nani? sio wewe uliojifanya unampenda yeye kuliko mkeo?na ni wazi anaweza tamani kumuua mkeo ili akae kwenye nafasi ya mkeo, tamaa zako zinakuingiza shimoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…