Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Kaka wewe ni mtu wa visiwa vya ukerewe?
Maana nao ndio mambo yao,ukimtenda ubaya hata kama hamna mazoea alijisogeza huku anakuhesabia hatua!
bro mimi ni mkuria wa kujitegemea. Ukileta za kuleta sichukui panga wala rungu bali nakupanga tu kiroho safi na ukiingia kumi na nane zangu unarud ukicheka coz ni swala la mda tu.
 
Uzi huu unachekesha, kuna kundi moja wanaona anaetembea na wake za watu adhabu yake ni kifiro tu. Kundi la pili linaona hata mtu atembee na mke wa mtu kifiro haifai maana ni tendo la kijinga na la udhalilishaji sana... Ni full battle nabaki nacheka tu.
 
Hii battle ni kama ile Ya Tupak Shakur VS Notorious Big, au ya Messi vs Ronaldo
 
Kwanini ujipe muda,oa sasa ambaye unaona si mdangaji.
Haya maisha usipende sana ushauri wa hisia/maarifa ya maisha.
Kama ni career jifunze kwa wengine ila style za maisha hakuna na kukufunza dunia hii,huyo mzee anayekushauri hivyo naye yakimkuta utasikia kachinja mke😂.
 
Dah hatar pole sana mkuu
 
 

Attachments

  • VID-20260813-WA0005.mp4
    203.8 KB
Ulifanya ukatili mkubwa sana. Kumbuka hujafa hujaumbika. Yawezekena mkeo mwambia jamaa kuwa yupo single.

Hayo yanaweza kukuta hata wewe unaweza kumpata mwanamke akakudanganya kuwa hajaolewa na ukajiingiza kwenye mahusiano lakn kumbe ameolewa. Je na wewe unastahili kufanyiwa hvyo?
 
Mke wangu tuna watoto 5 .ila baada ya kujiridhisha kuwa anatembea na jamaa tena mtu aliemzidi umri zaidi miaka 25 ,sasa huu mwaka wa 6 naishi nae ila sijawahi kugusa uchi wake. Wanawake asilimia kubwa ni wapumbavu sana!

Unaishi nae wa nini ? Fukuza iyo umbwa... oa kitoto cha alfu 2, kizalishe mtoto mmoja kula maisha
 
Mke wangu tuna watoto 5 .ila baada ya kujiridhisha kuwa anatembea na jamaa tena mtu aliemzidi umri zaidi miaka 25 ,sasa huu mwaka wa 6 naishi nae ila sijawahi kugusa uchi wake. Wanawake asilimia kubwa ni wapumbavu sana!
Duh! Mnalala kitanda kimoja? Mawasiliano yakoje, mnaongeleshana kweli?

Unakula msosi wake anaopika?🤔
 
Uongo
 
Eti hawez kukusaliti😆😆anaweza kukusaliti na usijue kamwe
 
😆😆Humfanyi lolotreee ushachapiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…