Tuliowahi kuvamiwa, kuibiwa au kutekwa na majambazi tujikumbushe

Nkuulize kwanza swali... ububu ni ugonjwa wa mdomo na ulimi au ni ugonjwa wa akili?
Yani ili mtu aongee inaanzia kwenye ubongo. Kuna mishipa/seli flani zilizoko kwenye ubongo zinaunganisha ubongo na mdomo zinazokufanya ww uongee na hizo zikidhurika hata kama mdomo haujaguswa huwezi kuongea...na macho nq maskio ni hivyo hivyo.
 
😁😁😁😁 brother ulijiongeza
 
Sitokuja kusahau wezi waliokuja kutuibia mbuzi wakachinga na kuchuma mbuzi zizi zima yaani wale wapuuzi walituachia ngozi na vichwa tu.
Tulikuja kuamshwa saa5 asubuhi na majirani
Hayo mambo wanayo watani zangu wagogo kuna jamaa alikua na ng,ombe wa maziwa walikuja walipulizia sijui nn walilaaa km wamekufa jamaaa wakamchuna ng,ombe na wakaacha utumbo tu na na ngozi.
 
Nmecheka Sanaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani ili mtu aongee inaanzia kwenye ubongo. Kuna mishipa/seli flani zilizoko kwenye ubongo zinaunganisha ubongo na mdomo zinazokufanya ww uongee na hizo zikidhurika hata kama mdomo haujaguswa huwezi kuongea...na macho nq maskio ni hivyo hivyo.
Thankyou
 
Mishipa ya fahamu ,kivipi ili mtu asikie ianzie kwa ubongo ,Kwan anaesikia kwanz ni sikio ?
 
Mi ile wanaruka fence kumbe niko macho, nikaandaa mguu wa kuku, ile wanabomoa tu mlango na fatuma yao nikaanza kuwatembezea za kichwa tu, mi nikaimba nao za kichwa tu.
hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…