wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Duh ukiona hivyo ujue na private parts za dadaako Cha Moto ilikua inakipata mkuu.Yani waarabu sijui walikua ni wale waarabu watumia mirungi acha kabisa..... Asante sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh ukiona hivyo ujue na private parts za dadaako Cha Moto ilikua inakipata mkuu.Yani waarabu sijui walikua ni wale waarabu watumia mirungi acha kabisa..... Asante sana
Yani ili mtu aongee inaanzia kwenye ubongo. Kuna mishipa/seli flani zilizoko kwenye ubongo zinaunganisha ubongo na mdomo zinazokufanya ww uongee na hizo zikidhurika hata kama mdomo haujaguswa huwezi kuongea...na macho nq maskio ni hivyo hivyo.Nkuulize kwanza swali... ububu ni ugonjwa wa mdomo na ulimi au ni ugonjwa wa akili?
Kweli kabisa maan Kuna huyo mmja ni mwarabu alafu ni mweusi ndio alikua mkuu wa kumpiga huyo mwizi jaamaa ana mashavu kama anapuliza motoDuh ukiona hivyo ujue na private parts za dadaako Cha Moto ilikua inakipata mkuu.
😄😄😄😄 Duhmashavu kama anapuliza moto
😁😁😁😁 brother ulijiongezaMimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KM NAMUONA VILEKule arusha kuna mitaro ya maji nilikuwa namdumbukiza akiibuka namzamisha,nilipomtoa tu akaanza kulia meeemeeemeee
Hayo mambo wanayo watani zangu wagogo kuna jamaa alikua na ng,ombe wa maziwa walikuja walipulizia sijui nn walilaaa km wamekufa jamaaa wakamchuna ng,ombe na wakaacha utumbo tu na na ngozi.Sitokuja kusahau wezi waliokuja kutuibia mbuzi wakachinga na kuchuma mbuzi zizi zima yaani wale wapuuzi walituachia ngozi na vichwa tu.
Tulikuja kuamshwa saa5 asubuhi na majirani
Nmecheka Sanaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
Hawajui tumeoga kwa mstari tokea Primary hadi A levelTumekaa shule za bweni za wanaume miaka, kila mtu anavua nguo, lakini wewe firauni unawaza marinda tu.
😅😅Rah kuoga wadau wengi mikia inapishana sizeHawajui tumeoga kwa mstari tokea Primary hadi A level
ThankyouYani ili mtu aongee inaanzia kwenye ubongo. Kuna mishipa/seli flani zilizoko kwenye ubongo zinaunganisha ubongo na mdomo zinazokufanya ww uongee na hizo zikidhurika hata kama mdomo haujaguswa huwezi kuongea...na macho nq maskio ni hivyo hivyo.
Mishipa ya fahamu ,kivipi ili mtu asikie ianzie kwa ubongo ,Kwan anaesikia kwanz ni sikio ?Yani ili mtu aongee inaanzia kwenye ubongo. Kuna mishipa/seli flani zilizoko kwenye ubongo zinaunganisha ubongo na mdomo zinazokufanya ww uongee na hizo zikidhurika hata kama mdomo haujaguswa huwezi kuongea...na macho nq maskio ni hivyo hivyo.
Mishipa ya fahamu ,kivipi ili mtu asikie ianzie kwa ubongo ,Kwan anaesikia kwanz ni sikio ?
hahahaaaaMi ile wanaruka fence kumbe niko macho, nikaandaa mguu wa kuku, ile wanabomoa tu mlango na fatuma yao nikaanza kuwatembezea za kichwa tu, mi nikaimba nao za kichwa tu.
hahahaaaaMi sikutaka kuelewa maelezo yoyote...ni za kichwa tu
hahahaaaa we jamaaa hatareeeSikuiyo sikutaka kujua kama baadae wanajf watasema ni chai...mi niltembeza za kichwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yan mi skutaka kuwauliza wamelibebaje...ni za kichwa tu
hahahahaaaaaHivi wewe watu wamekuvamia na mapanga, utaacha kuwala za kichwa eti kisa unaogopa wanajf watasema ni chai?