Kada mwenzako jingalao amesha nijibia tayari hapo juu!!Mbona kama umepanic?
Ccm bado iko Ikulu safari hii chini ya mwana mama Samia Suluhu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yako mbelgiji ataendelea kuisikia ikulu kupitia twitter ya kigogo.
Wewe ni boya tu hauna lolote zaidi ya kupiga zumari humuMtapanic ninyi msioelewa mipango
Sisi WaTz ni MATAJIRI,tutembee kifua mbele......Utajiri woooote huu unaotuzunguka bado tuendelee kujiita maskini...! RIP Magufuri....!sijaelewa sisi waTZ na umasikini wetu kuna mtu yupo bize kututisha tena
Kwamba rais wa tz hatakuwa karibu na wanachi wake tena au una maanisha nini?Poleni sana Mataga! Mmepoteana tangu mpendwa wenu aliye wadekeza na kuwasikiliza aondoke! Mtabakia wapweke milele! Hakuna atakaye poteza muda wake kuwa karibu tena na nyinyi.
Nitaendelea kulipiga zumari...wewe una nini??Wewe ni boya tu hauna lolote zaidi ya kupiga zumari humu
Hakuna cha Big Game wala nini, ujinga Taifa limejifunza kuukataa haitokei tena , wazalendo wenye kuipenda Tanzania hawajawahi kulalausiniweke kwenye kundi hilo kirahisi ha ha ha
THE BIG GAME IS ON...
Mimi nina uzalendo na Taifa, siwezi kufurahi ujinga hata kama ni wa kijani.Nitaendelea kulipiga zumari...wewe una nini??
Sijawahi shabikia ujingaMimi nina uzalendo na Taifa, siwezi kufurahi ujinga hata kama ni wa kijani.
Sawa kama ni hivyo tuko pamoja. Sasa tulia kwanza ndugu yangu najua uko na hisia na huzuni, usiandike ukiwa katika hali hiyosijawahi shabikia ujinga
sijaelewa sisi waTZ na umasikini wetu kuna mtu yupo bize kututisha tena
Wewe ndio unahisi hivyo...rejea miandiko yangu humu jamviniSawa kama ni hivyo tuko pamoja. Sasa tulia kwanza ndugu yangu najua uko na hisia na huzuni, usiandike ukiwa katika hali hiyo
mifumo ipo na inafanya kazi...style hubadilika...sasa tutawaonesha new style...Hapo ndo panashanga, unajua sijui kwa hizi sera zetu toka mwanzo za ujamaa na kufungiwa fungiwa ndani huwa tunajiona wa Tanzania labda tupo tofauti na wenzetu na tunaonewa kijicho dah
Tunaweza kuwa kweli tuna rasilimali lkn toka uhuru mpaka leo kuna mambo madogo madogo tu tungekuwa tuliisha ya maliza kwenye ngazi ya afya, elimu na miundo mbinu achia mbali demokrasia yetu ndo hata haijulikani tunavyo simamia...
Tukutane Taifa soldierWewe ndio unahisi hivyo...rejea miandiko yangu humu jamvini
Msitake kumchonganisha mheshimiwa Rais Samia na wapinzani. Mwacheni afanye kazi kwa Uhuru na utashi wake pasii na kuegemea upande wowote. Watanzania tuko nyuma yake.Kuna puppets wanadhani sasa nchi itasambaratika, wasahau. Uzuri ni kuwa nchi yetu iko imara chini ya Samia. Watanzania wengi sana tupo nyuma yake mh. Rais, kwa maombi na ulinzi. RIP MAGUFULI
Walikuwa wakisuburi hotuba ya mama Samia leo na wamekuwa "disappointed" kwamba ameonyesha kutobadilisha msimamo wa serikali katika sera zake khasa hii ya UVIKO-19.Yawezekana yupo anayeharibu kututisha na kutaka kutuondoa kwenye mpango kazi muhimu wa kuhakikisha tunakuwa huru kikwelikweli.
Ujumbe uwaendee wazalendo na mabeberu pia.kuwa TANZANIA HAIWEZI KUOGOPA KAMWE...
Mungu ibariki tz
Mungu mbariki Rais wetu Samia
Mungu ibariki ccm
R. I. P JPM
Puppets waendelee kulelewa huko waliko
Tumejipanga kusikia mengi...but our focus remainWalikuwa wakisuburi hotuba ya mama Samia leo na wamekuwa "disappointed" kwamba ameonyesha kutobadilisha msimamo wa serikali katika sera zake khasa hii ya UVIKO-19.
Ni mapema mno kusema zaidi labda tusikie jingine kuanzia jumatatu.
viwanda lazima vitajengwa ...ahadi ipo pale paleLile kundi lenu la watu wasiojulikana sasa ndio limefikia mwisho, boss yuko anatoa mrejesho wa mauaji aliyowaagiza mtekeleze. Siasa chafu sasa na uzalendo uchwara ndani ya hii miezi sita zitakuwa zimesahaulika. Huyo mama ataanzisha kambi yake, nyie Mataga wa lake zone mbaneni mweka hazina awape chenu, maana mmiliki haifahamiki alitoa shilingi ngapi za kuulia watu na yeye ndio katangulia. Tunamshukuru Mungu kwa kusikia kilio chetu na kufanya mabadiliko bila umwagaji wa damu.