Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sawa ambaye sio mtumwa jana amewaacha mnalia-lia.Barakoa ni confirmation kwamba wewe ni mtumwa,na anayevaa barakoa ni mtumwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ambaye sio mtumwa jana amewaacha mnalia-lia.Barakoa ni confirmation kwamba wewe ni mtumwa,na anayevaa barakoa ni mtumwa.
Hakuna jipya, ni walewale tuTaifa liko salama mikononi mwake na tumwombee hekima, ujasiri, na kuthubutu anapoliongoza kupitia maombolezo ya kitaifa na hatimaye kushika usukani wa taifa letu.
Kumbe unajua alikataa utumwa,good.sawa ambaye sio mtumwa jana amewaacha mnalia-lia.
Kwahiyo unahalalisha ubaya kwa ubaya? Kama fulani alifanya mabaya basi na mwingine kufanya ubaya kama ule ni sahihi?Hata ingalikuwa ni kweli haya umtuhumuyo nayo ni Rais/ Mfalme gani kuwahi kutokea duniani ambaye hakuua?! Anzia kwa wa kwenye Misahafu sembuse hawa wa katiba za vyama na nchi, manabii na wafalme wakina Sauli na Daudi
Mie nilibahatika kusali nae misa ya kwanza,akahutubiaHeri yako kaka, mimi sina bahati ya kumuona Rais yoyote wa Tanzania live toka enzi ya Mwalimu mpaka leo.
Kwasababu gani isiwe rahisiWaliokimbia kurudi kirahisi rahis tu
inawezekana alikufa cku 5 nyuma kabla ya kutangazaKwahiyo ukiandikiwa ndiyo na Wewe tena Msomi wa Sheria wa aina yake ndiyo asijiridhishe kwa Kuipitia Katiba ya nchi?
Yaani hata Mimi tu Layman nimeweza Kuipitia hiyo Katiba na Kuielewa iweje Yeye tena a high Profile Public Figure wa aina yake asilijue hili au kuwa na uhakika nalo kabla hajatangaza?
Namkubali mno Mama Samia Suluhu Hassan ( Makamu wa Rais ) ila kwa Kukosea tu Jambo Muhimu na la Kikatiba kama hili naanza Kuingiwa na Mashaka kuwa labda Msiba umemchanganya au yupo katika Kipindi cha Vitisho kutoka kwa Watu wenye Maslahi yao yaliyoratibiwa vyema na tunayemuomboleza hivi sasa.
Amuulizie akiwa kwenye fridgeMagu tena jamani?
Hata Ile stendi ya kutangazia katengeneza fundi Maiko.🙆🙆🙆All in all mazingira ya kutangazia inaonekana ni haraka haraka..... na pia unaona hata wamesahau kwenye sheria ni siku ishirini na moja.
Muhimu tuombee taifa na tumuunge mkono kwa sababu alikuwa na vita kubwa sana.
Na toka wiki iliyopita walivyompangia aende Tanga walilenga kumuweka mbali kabisa yeye na Waziri Mkuu kwenye jambo hili. Halafu hakuna mtu mnafiki kama Mwigulu na ana tamaaa sana ya madaraka
El amechoka. Hana nguvu tena za kukimbizana na siasa.Msisahau el na ra nao wanapasha misuli kuweka MTU wao 2025
Sioni wa kuvaa viata vya Magu.Yaani kwa ujasiri kabisa kupambana na Shetani head on!Aisee ni ujasiri wa ajabu.I believe Shetani ametaka kuonyesha kwamba he is still in control in Tanzania na spiritually nadhani kasema ngoja niwaonyeshe kwamba mnachokitegemea kiko chini ya himaya yangu na nakibeba hicho hicho.Mungu ninaye mwamini mimi, BWANA YESU, amuwezeshe na kumfanya kuwa jasiri na hodari. Aepuke wakujipendekeza maana watamgharimu. Uzalendo uliojengwa na JPM muda alioitawala Tanzania nawaonea sana huruma warithi wake kama hawatafuata nyayo zake.