Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan
Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana, kikubwa tushikamane na tusiache kumwomba Mungu na kumuombea sana mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na wasaidizi wake...
Kipindi gani kigumu,?
 
Sawa, wewe usivae barakoa wakati wowote ule.
Sitavaa kwa kuwa scientists,mimi nikiwemo,tume-prove kwamba as far as protecting yourself from viruses is concerned,it is useless.Ni upuuzi na ukichaa kudhani kwamba unaweza kuzuia kitu cha size ya micropore kisipite kwenye material yenye size ya macropore.
 
Sitavaa kwa kuwa scientists,mimi nikiwemo,tume-prove kwamba as far as protecting yourself from viruses is concerned,it is useless.Ni upuuzi na ukichaa kudhani kwamba unaweza kuzuia kitu cha size ya micropore kisipite kwenye material yenye size ya macropore.
Sawa sawa.
 
Hakuna nchi isiyo kuwa na wapigaji yaani watu wanaojipatia fedha nyingi kiurahisi kutoka serukalini.

Kipindi cha Magufuli wengi waliachana na tabia hiyo kwa sababu ya kawaida ya mkuu kukukomoa hadi unatapika ulizo iba.

Kwa utawala huu mpya naona hadi ccm wamefurahi kwa maana kwamba mambo yote yatafuata sheria, kwa hiyo kwa sababu wanajua mfumo wetu wa sheria na mahakama upo loose kidogo kwa hiyo wanajua wanaushindi na wataendelea kuiba kuliko hata mwanzo.

Tenda hewa, malipo hewa, manunuzi hewa etc ndio mambo ambayo tunategemea yatatawala.miaka hii 4. Barabara zitajengwa kwenye makaratasi tuu.

Urahisi mwingine unakuja kwa sababu Bunge limejaza wana ccm, kwa hiyo kutakua na kulindana sana kwa hii miaka 4 ,hakuna wakuibua maovu.

Zaidi sana Madam Rais naye anaweza asiwe tafu sana ili kulinda nafasi yake ya kugombea tena 2025.

Hivyo wapigaji nawaona wanavyo jifariiji na kujipanga kuzitumia kodi za wananchi wa Tanzania kiurahisi.

IMG_20210319_114036.jpeg
 
Ujinga Tu .....kama zaman kulikuwa na upigaji na maisha yalikuwa na uangalau , Leo hii inasemekana upigaji ni almost below zero lakn Hali ni Tete , nimefaidika nini Mimi Kwa kutokuwepo upigaji , ??? Basi kuna umhimu wa wapigaji
 
Unataka kusema upigaji una faida kw Taifa?
Ujinga Tu .....kama zaman kulikuwa na upigaji na maisha yalikuwa na uangalau , Leo hii inasemekana upigaji ni almost below zero lakn Hali ni Tete , nimefaidika nini Mimi Kwa kutokuwepo upigaji , ??? Basi kuna umhimu wa wapigaji
 
Huu msemo wa kuwaomba watanzania wawe watulivu sijaona kama una maana yeyote maana siku zote watanzania ni watulivu mno labda kama itokee yamelipuka mabomu kama ya Mbagala hapo sawa huu msemo utafaa
 
Wanabodi mnaweza mkawa mnanielewa vibaya sababu wengi wengi huwa tunapenda kuangalia sarafu upande mmoja.

Miaka mitanon ya hayati Dr Magufuli kuna baadhi ya mambo yalidhibitiwa vizuri hasa suala la upigaji mkubwa kama tuliokuwa tunausikia awamu ya nne ya Jakaya.

Japokuwa tupo tunaomboleza lakini kuna baadihi ya wanaCcm waroho wa madaraka na mafisadi wamefurahi sana. Maana wao kukwapua mali ya umma ni sehemu ya maisha yao.Na alipokuwepo JPM aliwadhibiti. Sasa ameondoka mtasikia mambo ya ajabu. Mtasikia kandarasi kama Escrow zinaibuka na mpaka tunakuja kishituka watu wameshakwapua mabilioni ya shilingi.

Mbali ya hayo tutarajie watendaji na wateule wa rais kufanya kazi kwa uzembe wa hali ya juu. Maana watanzania wengi hawajui wajibu wao mpaka wasukumwe kwa vitisho vya tumbua mtumbua.

Kwa ufupi tunaenda kurudi nyuma sana na huo ndio ukweli.
 
Hujui kitu awamu ya marehemu ndio ilikuwa inapigwa pakubwa tena na wachache huku wengi mkitumbukizwa kwenye umasikini mkubwa
 
Aliyekufa kafa na aliye chukua kijiti kachukua. Msitutishe bhana, ufisadi ufisadi mara uzembe sijui nyoko nyoko..... acheni watu wengine walete mawazo mapya. Magufuli alikuwa mwanadamu kama wewe tuu na ndo maana hayupo sasa. Msione wengine hawawezi kuongoza. Ataongoza yoyote na mambo yatakuwa sawa.

Acheni kuhisi kila anayepata hela au tajiri ni fisadi au mwizi
Kuna kiongozi bora na bora kiongozi.
 
Back
Top Bottom