Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Yap lazima wafutwe kaziUko sahihi, shida kubwa pia ni NJAA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap lazima wafutwe kaziUko sahihi, shida kubwa pia ni NJAA.
Kipindi gani kigumu,?Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana, kikubwa tushikamane na tusiache kumwomba Mungu na kumuombea sana mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na wasaidizi wake...
Sawa, wewe usivae barakoa wakati wowote ule.Ni upuuzi kufuata maelekezo ambayo ni hatarishi kwa maisha yako.Pole kama unaamini 100% kwamba serikali ipo kwa ajili ya maslahi yako.
Sitavaa kwa kuwa scientists,mimi nikiwemo,tume-prove kwamba as far as protecting yourself from viruses is concerned,it is useless.Ni upuuzi na ukichaa kudhani kwamba unaweza kuzuia kitu cha size ya micropore kisipite kwenye material yenye size ya macropore.Sawa, wewe usivae barakoa wakati wowote ule.
Sawa sawa.Sitavaa kwa kuwa scientists,mimi nikiwemo,tume-prove kwamba as far as protecting yourself from viruses is concerned,it is useless.Ni upuuzi na ukichaa kudhani kwamba unaweza kuzuia kitu cha size ya micropore kisipite kwenye material yenye size ya macropore.
Ujinga ujinga mwingi umewajaa nyie ccm.Hakuna nchi isiyo kuwa na wapigaji yaani watu wanaojipatia fedha nyingi kiurahisi kutoka serukalini....
Acha watu wale mbona hayati alikuwa mpiga dili mzuri!
muendelee pale pa kutekana na kumiminiana marisasi kama mnaua tembo??Kama tusipoendelea pale anko alipoishia Ipo siku hapa nchini tutazichapa,
Nani kakudanganya.unaelewa maana ya magufuli kumfanya mtoto wa dada yake awe mlipaji mkuu wa hela za serikali?Una ushahidi, hayati ameondoka kama alivyo ingia
Ujinga Tu .....kama zaman kulikuwa na upigaji na maisha yalikuwa na uangalau , Leo hii inasemekana upigaji ni almost below zero lakn Hali ni Tete , nimefaidika nini Mimi Kwa kutokuwepo upigaji , ??? Basi kuna umhimu wa wapigaji
The vice-president is a heartbeat away from the presidency.
How that came to pass both literally and figuratively...
Kuna kiongozi bora na bora kiongozi.Aliyekufa kafa na aliye chukua kijiti kachukua. Msitutishe bhana, ufisadi ufisadi mara uzembe sijui nyoko nyoko..... acheni watu wengine walete mawazo mapya. Magufuli alikuwa mwanadamu kama wewe tuu na ndo maana hayupo sasa. Msione wengine hawawezi kuongoza. Ataongoza yoyote na mambo yatakuwa sawa.
Acheni kuhisi kila anayepata hela au tajiri ni fisadi au mwizi