nra2303
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 2,975
- 2,547
Mama awe serious na maisha ya watanzania, hii nchi haijafikia hatua ya kuondoa uhai wa mtu kisa anakupinga awe serious na maisha ya watu aiseee, kuishi kama mkimbizi kwenye nchi yako mwenyewe sio poa kabisa.
Fungua fursa za uwekezaji, ongezea nguvu kwenye sekta binafsi, pandisha madaraja, ongezea mishahara Kwa mjibu wa katiba , endelea kukomesha ujambaz kama alivyofanya JPM, Waajiri vijana kadir inavyowezekana, Saidia wakulima kufungua masoko nje.
Pambana na ufisadi, kuwa makini Sana na miradi mizito na mikubwa inayozidi uwezo wa Taifa , usilazimishe Kula nyama za 10000 wakat uwezo wako ni wali wa 1000 utalaza njaa watu. Naamini utafika mbali Sana, Mungu ibariki Tanzania
Sitarajii mambo makubwa kwa Huyu mama! JPM alikua na passion na Vision ya kuona vitu vipya Vikubwa na alikua ana think big and out of box!
I see next JK era under new leadership