Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan
Mama awe serious na maisha ya watanzania, hii nchi haijafikia hatua ya kuondoa uhai wa mtu kisa anakupinga awe serious na maisha ya watu aiseee, kuishi kama mkimbizi kwenye nchi yako mwenyewe sio poa kabisa.

Fungua fursa za uwekezaji, ongezea nguvu kwenye sekta binafsi, pandisha madaraja, ongezea mishahara Kwa mjibu wa katiba , endelea kukomesha ujambaz kama alivyofanya JPM, Waajiri vijana kadir inavyowezekana, Saidia wakulima kufungua masoko nje.

Pambana na ufisadi, kuwa makini Sana na miradi mizito na mikubwa inayozidi uwezo wa Taifa , usilazimishe Kula nyama za 10000 wakat uwezo wako ni wali wa 1000 utalaza njaa watu. Naamini utafika mbali Sana, Mungu ibariki Tanzania

Sitarajii mambo makubwa kwa Huyu mama! JPM alikua na passion na Vision ya kuona vitu vipya Vikubwa na alikua ana think big and out of box!
I see next JK era under new leadership
 
Sitarajii mambo makubwa kwa Huyu mama! JPM alikua na passion na Vision ya kuona vitu vipya Vikubwa na alikua ana think big and out of box!
I see next JK era under new leadership
Combination ya huyu mama na JK ndo italeta utawala Bora , I believe that , hela zipo nje wazee, kukamuana humu ndani tulikuwa tunaumizana Tu , hatuna hela sisi...tulimshangilia JPM but mwisho wa siku tuliishia Kula ugali na michicha tuu.....mwisho wa siku JPM mwenyewe aliishia kukopa tuu sa hv deni la Taifa ni kubwa Kias kwamba tunaelekea kwenye dangerzone ya kutokopesheka ..... JK alishindwa usimamizi sababu ya makundi aliyokuwa nayo , na kuyakemea alikuwa hawez ...sa hv JPM ameyasafisha sababu JPM hakuwa na maslahi nayo na kila siku alilisemea kwamba hakuna aliyemuweka madarakan Kwa hela zake so siogopi ...sidhan kama JK atapambana kuyarudisha , ameona mwenyewe alipopungua , hotuba aliyotoa makongoro Nyerere akiomba ridhaa mwakab2015 kule Msoma nilimwelewa Sana kuhusu udhaifu wa utawala wa Kikwete ....

JPM utawala wake ulikuwa na manufaa Kwa mda mfupi but in the long run ingekuwa ni disaster , kuondoka Kwa Mkapa na JPM alaf kikwete akabaki , kunafkrisha Sana ..... sometyme naamin Mungu anacontrol mambo........ Nina Imani uchumi wa Tanzania utapaaa Sana Sana cha msingi Tu asimamie ukucha kwenye ufisadi bas.....

Gesi tunayo , madini tunayo lakini kuyachimba hatuwezi , nini kifanyike ?? Mpe anayeweza kuchimba mgawane , cha msingi uzalendo uwepo kwenye mikataba ..
 
Nimekusoma mkuu ila JK anaingiaje kwy huu utawala wa saivi! In my view mama hana kaliba ya JPM uthubutu na kutojali sana what will come next,ndio mana aliitwa bulldozer sio kupenda ujenzi ni uthubutu bila assessment nyingi na michakato siioni TZ ya staili hiyo tena,ofcourse in mathara lkn positive impact ni kubwa! Soon utasikia wakimara wanataka fidia,manji kesi imefutwa,regumalila na seti nao nje nk nk! Anyway let’s see how it’s unfolding time will tell
 
Katiba iliyowapa madaraka JK, Mkapa, na JPM bado ni ile ile. Vipengele vyake ni vile vile; havijabadilika. Aliyebadilika ni Rais tu. Na alichosea kina ukweli; yeye ni Rais tofauti ni jinsia yake tu. Watu watafanya makosa makubwa kama watajaribu kuangalia kila kitu kwa mwanga wa "huyu ni mwanamke". Nina uhakika maombolezo yakipita atawaweka sawa watu na watakaa sawasawa kweli kweli na ataondoa utata wowote wa nani ni bosi katika Tanzania.

I stand with Samia!
 
Huyu Mheshimiwa Samia Suluhu ni Khaloo sio mama,mama ni mmoja tu aliekuzaaa,mpo?

WaTanganyika tulieni, muone haki inavyotendeka serikali inavyoendeshwa au tuseme nchi inavyoendeshwa ,ila mshike adabu zenu ,juzi Mheshimiwa Raisi aliwapasha palepale uwanjani kuwa yeye sasa ndio Raisi, sijui mlimuelewa? Au kumsikia?
Nilifahamu kwa upande wangu kuwa Kila Raisi anakuja na maono yake, na zaidi husemwa mazuri ya magufuli yatachukuliwa na kuendelezwa na kufanyiwa kazi na mabaya yake yatawekwa pembeni na kutafutiwa utatuzi kuwekwa sawa ,maana hakuna binadamu anaekosa mabaya wala anekosa mazuri,tunasema mazuri ya marehemu magu yachukuliwe mabaya yazikwe.

Karata moja ya kusafiri nayo ni kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa yenye kibali na taratibu maalumu ,hii itampandisha kwa speed a mwendo kasi.
 
Binafsi, kama akiwekwa mgombea wa "CCM vs FUNGU LA MAVI kwenye fomu ya kupiga kura, ntalipigia kura fungu la mavi. Ila kwa huyu mama acha niseme ukweli.

Mama atafanya mapinduzi ya hali ya juu nchi hii kwenye swala zima na "UHURU NA HAKI", na atadiriki hata kuwazidi marais wanaume.
Mkuu weka akiba ya maneno usije baadaye kuwadissapointed
 
ExJLxyiXEAERa9J.jpeg
 
Habari wadau..!

Dunia ina nchi 195 yaani nchi 54 bara la Afrika,48 Asia,44 Ulaya,33 Latin America na Carribean,14 Ocenia na 2 Amerika Kaskazini.

Unaambiwa idadi ya marais wanaotuma salamu za pongezi na za kumtaki heri mama Samia na za maombolezo kwa Hayati JPM inakaribia mara mbili ya idadi ya marais wote duniani ,idadi ambayo haijawai kutokea kwa rais yeyote Afrika.Idadi hii inajumuisha marais waliopo madarakani na waliostaafu wengi .

Muda si mchache mke wa rais mstaafu wa marekani Mama Cliton ametuma salamu za pongezi na maombolezo Kamala Harris ,Biden,Trump,Obama ,Pompeo na wengine wengi.

Swali langu je kwa nn dunia ina imani sana na rais Samia Suluhu?
 
Tunaomba tuone pia kupitia jukwaa pendwa salami hizo za rambirambi nasi tufarijike kwani kiongozi tuliye mpoteza alikuwa wetu sote.
 
Habari wadau..!
Dunia ina nchi 195 yaani nchi 54 bara la Afrika,48 Asia,44 Ulaya,33 Latin America na Carribean,14 Ocenia na 2 Amerika Kaskazini.

Unaambiwa idadi ya marais wanaotuma salamu za pongezi na za kumtaki heri mama Samia na za maombolezo kwa JPM inakaribia mara mbili ya idadi ya marais wote duniani ,idadi ambayo haijawai kutokea kwa rais yeyote Afrika.Idadi hii inajumuisha marais waliopo madarakani na waliostaafu wengi .

Muda si mchache mke wa rais mstaafu wa marekani Mama Cliton ametuma salamu za pongezi,Kamala Harris ,Biden,Trump,Obama ,Pompeo na wengine wengi.

Swali langu je kwa nn dunia ina imani sana na rais Samia Suluhu .??

Hata mimi nina imani kubwa sana na mama Samia Suluhu.

Baadae nitasema ni kwa nini nina imani na mama Yetu.

Atafanya makubwa zaidi kwa mbinu bora zaidi.
Ila wengi watajikwaa mana kila zama na kitabu chake.
 
Hatutaki kuruďishwa kwenye mawazo/ na ulimbukeni wa kutambuliwa na kusifiwa, kupongezwa na Wazungu na ule wa kuzurura huko duniani.

Tunataka Rais wa Watanzania Mtumishi wa Watanzania basi. Umeme wengine tumeshaanza kukatiwa Tanesco ukiwapigia wameanza majibu ya mafundi walikùwa mbali sana. Hii ni kabla hata JPM hajazikwa.
 
Hiyo ni imani yako,hakuna kilichobadilika,ila ni kweli yapo matumaini mapya tele,yenye uelekeo mpya kwa mambo mengi kuelekea Tanzania tunayoitamani.
 
Back
Top Bottom