Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

HERI YA SIKUKUU YA KRISMAS WADAU,

Uzi huu ni wa kutuma salamu za krismas kwa Wadau wawili hapa jamvini, haijalishi dini, dhehebu, wala kabila lake...

Malizia na ujumbe "Nampenda Sana"

Mimi naanza kutuma salamu kwa Mtu wangu wa karibu Heaven Sent pamoja na Mohamed Said

Ujumbe : Nawapenda sana
Hahahaaa! Eti mzee said nae unampenda
 
DAaah nimecheka sana🤣🤣.

Hawa watu wanaleta ukorofi.
Wameweka Misikitini maua
IMG-20231225-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom