Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Sheria au mkataba unarekebishwa au kutafsiriwa mahakamani??
 
Rejea angalizo ndugu
Wewe unauliza swali alafu unataka ujibiwe vile unataka.

Tundu lisu yeye mwenyew kauliza swali, hizo faida mnazozisema ziko wapi ??, si mlete ushahidi au kama vipi nyinyi ndio waongo wakubwa.
 
Mimi tafadhali usiniweke kwenye hilo kundi la watanzania vilaza. Nina akili zangu timamu tafadhali
 
Wewe unauliza swali alafu unataka ujibiwe vile unataka.

Tundu lisu yeye mwenyew kauliza swali, hizo faida mnazozisema ziko wapi ??, si mlete ushahidi au kama vipi nyinyi ndio waongo wakubwa.
Kwenye uendeshaji wa mashauri tunaita kitaalamu Cross Examination. Nauliza nikitaka kujibiwa kwa kile nilichouliza. Kama huna jibu unasema tu sina jibu
 
Kwenye uendeshaji wa mashauri tunaita kitaalamu Cross Examination. Nauliza nikitaka kujibiwa kwa kile nilichouliza. Kama huna jibu unasema tu sina jibu
Ona sasa, kwani hapa tupo kwenye uendeshaji mashauri ?

Jibu ninalo na ni hili, Lisu, Dr Slaa n.k hawajawahi kusema kuwa kwenye IGA, faida lazima zibainishwe.

Sasa kuwauliza hayo ambayo hawakusema na kuwaita wapotoshaji ni wazi wewe ndio mpotoshaji.
 
Ona sasa, kwani hapa tupo kwenye uendeshaji mashauri ?

Jibu ninalo na ni hili, Lisu, Dr Slaa n.k hawajawahi kusema kuwa kwenye IGA, faida lazima zibainishwe.

Sasa kuwauliza hayo ambayo hawakusema na kuwaita wapotoshaji ni wazi wewe ndio mpotoshaji.
Endelea kuleta longolongo tu
 
Fools rush in where wise men never go...You can disagree without saying anything. One does not need to win stupid arguments...it saves time, energy, and friends

Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience...Mark Twain

Never wrestle with a pig. You just get dirty, and the pig likes it!

Never play chess with pigeons - they knock over the pieces, poop on the chessboard, and fly away convinced they've won!

A wise man can learn more from a foolish question than a fool can learn from a wise answer!

Dont try to fool people all the time, sometimes just let them fool themselves.
 
Nimesema sitaki longolongo.

Mimi ni mwanasheria gwiji pia. Nimeweka swali hapo lijibiwe kama nilivyouliza. Hakuna longolongo hapa!!
Hamna ugwiji wowote mmeliingiza Taifa chaka kwa mikataba mibovu! Hakuna wa kuwaamini nyie zipo reference nying za mikataba ya hovyo!!
 
Well noted! Thanks
 
Nakubaliana nawe

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Nakubaliana nawe kuwa kifungu hicho kinataja kuwepo kwa Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji (HGAs). Lakini, lakini, lakini, jiulize kwani Tanzania hatuna uwezo wa kuingia mikataba na Kampuni zingine zenye uwezo isipokuwa DP World kuteua hizo Kampuni kwa miradi husika(Kifungu 2(c)? TUNAJIDHARIRISHA

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Nategemea atajitokeza

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Nakubaliana na wewe kuwa Mkataba kama IGA /BIT hauuwezi kueleza muda mahsusi wa uwekezaji. Lakini IGA/BIT ni makubaliano ya msingi yanayoongoza aina na masharti ya uwekezaji. Lakini, lakini, lakini, kuna vifungu vya IGA kati ya JWT na Serikali ya Dubai vyenye makubaliano batili (rejea pingamizi kadhaa zinazotolewa na wanaopinga).

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Naamini utakuwa mwungwana ujitokeze na "Verified ID"

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Hoja yako inathibitisha kuwa Tanzania ina watu wasio na uelewa ndio maana Serikali imesaini IGA yenye vifungu batili na Bunge likaridhia. Ni pamoja na watetezi wa IGA

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.


Nawasubiri!!
Nipo tayari kujadili na wewe vifungu vyenye makubaliano batili, japo wanaopinga wamekuwa wakivieleza humu JF nawe ulikaa kimya badala yake unajitokeza na hoja za kumshambulia mtu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…