peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria au mkataba unarekebishwa au kutafsiriwa mahakamani??Hii issue ya Bandari, kilichonyuma ya pazia kwa sehemu kubwa ya waluofront kuikataa kwa zaidi wanachagizwa na msukumo wa kidini na si vinginevyo. Hata kama kuna uwepo wa marekebisho madogo, lakini limekuzwa kwa kiwango kikubwa saana kwa vile tu walioingia Mkataba huo ni Waarabu (ambao wengi huchukulia kuwa ni waislam, ingawa hata uarabuni kuna wakristo kama ilivyokuwa Israel kuna Waislamu wengi zaidi ya wakristo), huku pia rais akiwa muislamu.
Kwa wasiojua wamelivaa kwa hasira kuu huku kiini kikiwekwa kwapani. Ndio maana kwenye hii issue ni agharabu kumkuta mkristo akiongea kwa uzuri juu ya jambo hili. Angalia jinsi kwenye mkutano pale Mbagara viongozi wa dini walivyosema.
Nadhani, mkataba ungeingiwa kati ya Tz na Wamarekani, Italy au Uingereza kama mikataba mingi iliyoingiwa huko nyuma kama EPA kusingekuwa na shida hii tunayoiona. Ndio maana hata Mkataba na TICKS pale bandarini tulioingia na Wazungu wa kikaguru haukuwahi kupigiwa kelele hizi licha ya kuwa nao walikaa bandarini muda muda mrefu na tija ikiwa ndogo.
Rai yaangu ni kwamba tukosoe kwa haki pale kweli panastahili kukosolewa, tuoneshe dosari iko wapi kwa kurejea taratibu za mikataba ya kimataifa inataka kwa maslahi ya taifa na sivinginevyo.
Kama huyo Mdude_Nyagali ndio kabisaa hawezi kuja kichwani kajaza matakataka tu.Na mimi nasubiri kwa hamu. Tena ngoja niwatag wapambe wake:
Erythrocyte
Mdude_Nyagali
Njooni mjibu huku.
Rejea angalizo nduguUmekaa humu wewe keyboard worrier, hufahamiki popote, unataka ku challenge Lisu kwa Mambo ya sheria, wewe ni wa Kupuuza, kwamba kuna mtu atapoteza mda kuku jibu.
Nani kajibu?Umeshajibiwa hujaelewa tu endelea kukariri si muda utaelewa jibu tayari unalo mwenyewe
Wewe unauliza swali alafu unataka ujibiwe vile unataka.Rejea angalizo ndugu
Mimi tafadhali usiniweke kwenye hilo kundi la watanzania vilaza. Nina akili zangu timamu tafadhaliKiukweli nimeisoma IGA ya Tanzania na Dubai several times, bado najiuliza upotoshaji huu wa akina Lissu, Slaa nk unatokea wapi? Mbona iko straight forward tu kwa mambo mengi. Ni Mkataba tu au kuna issue nyingine? Kwamba IGA hii ina shida kwenye suala la ardhi? Au ukomo? Kwamba IGA iseme DPW italipa fedha kiasi fulani au itaajiri wafanyakazi idadi flani?? Hakika watanzania katika hili la Bandari tumetia aibu duniani. Tunaonekana vilaza wa kutupwa kwa kushindwa kuelewa vitu basic kama hivi.
Kwenye uendeshaji wa mashauri tunaita kitaalamu Cross Examination. Nauliza nikitaka kujibiwa kwa kile nilichouliza. Kama huna jibu unasema tu sina jibuWewe unauliza swali alafu unataka ujibiwe vile unataka.
Tundu lisu yeye mwenyew kauliza swali, hizo faida mnazozisema ziko wapi ??, si mlete ushahidi au kama vipi nyinyi ndio waongo wakubwa.
Ona sasa, kwani hapa tupo kwenye uendeshaji mashauri ?Kwenye uendeshaji wa mashauri tunaita kitaalamu Cross Examination. Nauliza nikitaka kujibiwa kwa kile nilichouliza. Kama huna jibu unasema tu sina jibu
Endelea kuleta longolongo tuOna sasa, kwani hapa tupo kwenye uendeshaji mashauri ?
Jibu ninalo na ni hili, Lisu, Dr Slaa n.k hawajawahi kusema kuwa kwenye IGA, faida lazima zibainishwe.
Sasa kuwauliza hayo ambayo hawakusema na kuwaita wapotoshaji ni wazi wewe ndio mpotoshaji.
Hamna ugwiji wowote mmeliingiza Taifa chaka kwa mikataba mibovu! Hakuna wa kuwaamini nyie zipo reference nying za mikataba ya hovyo!!Nimesema sitaki longolongo.
Mimi ni mwanasheria gwiji pia. Nimeweka swali hapo lijibiwe kama nilivyouliza. Hakuna longolongo hapa!!
Ukijibu hilo lini walisema IGA lazima faida zibainishwe, mimi nikupa huo mfano la sivyo wewe utakuwa unaleta longolongo.Endelea kuleta longolongo tu
Well noted! ThanksFools rush in where wise men never go...You can disagree without saying anything. One does not need to win stupid arguments...it saves time, energy, and friends
Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience...Mark Twain
Never wrestle with a pig. You just get dirty, and the pig likes it!
Never play chess with pigeons - they knock over the pieces, poop on the chessboard, and fly away convinced they've won!
A wise man can learn more from a foolish question than a fool can learn from a wise answer!
Dont try to fool people all the time, sometimes just let them fool themselves.
Nakubaliana naweLissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Nakubaliana nawe kuwa kifungu hicho kinataja kuwepo kwa Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji (HGAs). Lakini, lakini, lakini, jiulize kwani Tanzania hatuna uwezo wa kuingia mikataba na Kampuni zingine zenye uwezo isipokuwa DP World kuteua hizo Kampuni kwa miradi husika(Kifungu 2(c)? TUNAJIDHARIRISHAPili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Nategemea atajitokezaKwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Nakubaliana na wewe kuwa Mkataba kama IGA /BIT hauuwezi kueleza muda mahsusi wa uwekezaji. Lakini IGA/BIT ni makubaliano ya msingi yanayoongoza aina na masharti ya uwekezaji. Lakini, lakini, lakini, kuna vifungu vya IGA kati ya JWT na Serikali ya Dubai vyenye makubaliano batili (rejea pingamizi kadhaa zinazotolewa na wanaopinga).Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Naamini utakuwa mwungwana ujitokeze na "Verified ID"Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Hoja yako inathibitisha kuwa Tanzania ina watu wasio na uelewa ndio maana Serikali imesaini IGA yenye vifungu batili na Bunge likaridhia. Ni pamoja na watetezi wa IGAIfike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Nipo tayari kujadili na wewe vifungu vyenye makubaliano batili, japo wanaopinga wamekuwa wakivieleza humu JF nawe ulikaa kimya badala yake unajitokeza na hoja za kumshambulia mtu binafsi.Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Wameanza kujitoa, kile kilichojadiliwa bungeni ni kipi?Haya!!
Nimesema sitaki longolongo.
Mimi ni mwanasheria gwiji pia. Nimeweka swali hapo lijibiwe kama nilivyouliza. Hakuna longolongo hapa!!
Kila siku nakwambia hijab lako limefunika akili yako kabisa. Nina hakika ukilivua hijab akili yako itakaa sawa sawiaWana sheria wenu uchwara kule Mbeya walibwagwa mahakamani kwenye hilo mapema tu, wakaufyata.
Hujasoma updates za @@Mdude_Nyagali na Erythrocyte?