Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

Naunga mkono hoja,huyu magufuli tunapaswa kumuondoa ofisini sisi wenyewe,mabeberu watakuja kutusaidia tukiwa njiani kuelekea kumng'oa either kwa kura au kwa nguvu
Jitokeze tuone kama nguvu unazo za kumwondoa kwa nguvu!
 
Mbona mnalialia kama Lissu amevunja sheria za uchaguzi hakuna jinsi hatuko tayari kuchezewa uhuru wetu na hao mabeberu wenu.
Lissu kavunja sheria gani wewe?
Hi dunia haijawahi tokea mtu akafanya anavyotaka akaachwa.
Hata makaburu walisema wao Ni nchi huru,lakini nyerere na wenzie hawakukubali Wala kuwaacha wawafanyie raia wa nchi hizo walivyokua wakiaafanyia,Hata Waisrael wnachowafanyia Wapalestina dunia haijakaa kimya.
Unajidanganya wewe Ni nchi huru,una Uhuru gani wewe?
 
Nliwaambia mapema Waache hiyo tabia hawakusikia kila mtu apambane na Hali yake
 
Baada ya tarehe 28/10/2020 utakufa kihoro!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…