Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

Kwa mahali tulipofikia kama nchi, inapaswa kitu kifanyike kwa haraka.. mtu huwezi kujifanya mungu mtu na kudharau watanzania milioni 60.. no way..

Mtetezi pekee wa watanzania sahiv ni mabeberu
Kingine ni mabeberu kuona majeraha ya Lissu, nafikiri jambo hilo limewakera beyond repair.
 
Mm ni upinzani pure, CCM wamefeli sana kumuweka huyu mnayampara jiwe, anaharibu hii nchi jamani, embu tuwe na uzalendo kwa vizazi vyetu vijavyo wataishi vipi?
Kwani si nyie kupitia Mnyika bungeni mlitaka raisi ajaye baada ya kikwete awe Nyampara a.k.a dictator Leo hii mnalia lia Nini.
 
Nimeamin hawa jamaa mkiwapa nchi kuna ahadi nyingi sana ambazo walishaahid mabeberu,huenda tulishauzwa,tunaweza shangilia kwa yanayotokea lakini muda huwa ni mwlm mzuri sana na ninazan Tanzania sio taifa huru bali limeshakuwa koloni la mabeberu sababu ya mtu mmoja anaetafuta madaraka kwa nguvu,Kuna mengi sana ya ajabu yanatokea Uganda lakini sijaona sauti ya Mabeberu wakizungumza chochoto.

Kampeni Uganda wameamuliwa mapinzani kufanya kwa njia ya mitandao lakin bado mabeberu hawaoni,Kuna sehemu watu walishaahidi kuwa tukiingia madarakani tutawafanyia ivi!
 
Uchumi wa kati hapo ni namba tu hizo za makaratasi, lakini kwa investors bado risk ya Tanzania ni kubwa. Issue kubwa pia ni jamaa kuweka wazi kwamba anawachukia mabeberu. Nadhani sasa na mabeberu wanataka kumuonesha upande wa pili wa shilingi upoje
Magu uraisi atautema tarehe 28 Oct. mchana kweupe, walimsulubu kambarage 1985 akakimbia sembuse huyu kilaza
 
Nakuuga mkono. Wasimuwekee Lissu pingamizi. Nashauri wamuache mpaka hatua ya mwisho na sisi tunajua CCM itashinda uchaguzi huu.
 
Wewe ndio nadhani asasi za kutetea Haki za binadamu Ni kitu kidogo.
Hiki Ni chombo kikubwa Sana na Kiko Kimataifa.
Tanzania imesaini mikataba mingi Sana kuruhusu Taasisi hii kufanya kazi nchini.
Ni chombo Cha UN.chezea uone.
Haina maana kuwa Asasi za kiraia zinaweza kufanya chochote bila kufuata sheria za nchi husika! Waeleze hizo pesa zimetoka wapi na za nini?
 
Wameambiwa waeleze hizo 6B zimetoka wapi? Si watoe maelezo otherwise ziendelee kufungiwa no way! Pia jiulize serikali imejuaje kuna pesa 6B zimeingia kwenye account zao?? Think proactively!!
Waliozifunga wanaweza kujua zinatoka wapi, hizo ni transactions za kibenki.
 
Moody’s revises Kenya’s ratings to negative
May 8,2020

Kenya’s huge borrowing requirements has pushed down the country’s rating to negative from stable.

This negative outlook of B2 by Moody’s rating agency reflects the rising financial risks posed by Kenya’s huge borrowing requirements, which include amortization of external bilateral debt and the need to refinance a large stock of short term domestic debt.

Already, Kenya’s fiscal health is fast deteriorating as the closure of businesses and loss of jobs in key sectors erodes the country’s tax revenue base.

Soma zaidi
 

Wewe jimga. Huwezi tibu gonoo yako kwa kumwambia dr anywe dozi yako. So huyo Lissu avunje tu sheria kisa kuna wakubwa. Hivi hayo mahaba malipo yake nini. Watu Kama
Nyie mnabore sana. Mnajua kabisa Ni janga lakini mnatengeneza mazingira ya fujo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…