Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Mbwebwe zoote zile halafu unapata kura 1,933,271 ni fedheha na aibu kubwa.
Mmekubaliana kukidanganya.. kisha mtajipongeza kwa kuiba kura.

Karatasi za kura hadi zimebaki kitaa tunafungia maandazi.
 
Utasubiri sana Mkuu hana jipya huyu na sera zake MUFILISI.
Kiongozi hii nchi ni dhalimu sana na udhalimu hautoisha nguvu wajinga wakiendelea kuwepo inabidi siku moja waionje chungu
 
Reactions: BAK
Wananchi wa wapi..? Labda wewe na ndugu zako.
 
Reactions: BAK
Ina maana zaidi ya wapigakura million 14 waliojiandikisha hawakupiga kura haya ni zaidi ya maigizo ya Tom & Jerry.
View attachment 1616179
Mkuu! Kilichoongeza idadi hapo angalau kufikia hiyo milioni 12 ni kura za maruhani,vinginevyo hata kura milioni tano zisingefika. Ule msemo wa kuwa uyaone ndiyo nimeushuhudia katika uchaguzi huu.
Dah! Watu hawakujitokeza kabisa kupiga kura,ila ukitembelea vituo vilivyokuwa na mawakala wa CCM pekee ndipo unaposhangaa kukuta watu wote wamepiga kura mpaka waliokufa.
 
Eti utalikuta limtu linaniomba lift au hela na kwenye shangwe za Jesca Ntumbanini sijui lilikuwepo likidandia bodaboda maaa**** litaiona chungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…