Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Wamepika.. mchana wa leo lissu alikua na kura milion 2 na kitu.
Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.

NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine itakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
 
Dkt Magufuli ameshinda kwa awamu nyingine.

Nini maoni yako
 
Atazimia akigundua kwamba pekee yake ndio alikua hapati facebook..[emoji1][emoji1]
MWAMBIENU SASA AFUNGULIE INTERNET SI AMESHASHINDA. MAANA TUNATESANA BURE SASA. WACHENI MAISHA YAENDELEE
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule...
Hongera sana Rais WETU. Hongersa sana Watanzania kwa maamuzi yetu mema.
 
Ni msiba mkubwa huu Mkuu hasa ukitilia maanani udhalimu wa kutisha toka 2015. Wake kwa Waume watoto, vijana, watu wazima na hata Wazee wengi wamelia sana tu huku wakipeana pole.
Nchi imepoa watu hawana furaha utafikiri wamefiwa.
 
Lissu anaugulia maumivu tu huko aliko. Ha ha ha ha ha ah ha ha ha haaaaaaa
Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu

Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge

Enzi za akina Mzindakaya Maji y tanga

Bunge la usingizi ,Binafsi na wana cc wengi ni aibu kuu

Tunarudi karne ya 20

Wana ccm wengi hatuna raha sana,siasa ni ushindani na ndio raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…