Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Wewe mdada nakupendaga sana ila basi tu jmnMtaa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mdada nakupendaga sana ila basi tu jmnMtaa gani
Hahaha wafuasi hewa 17mPamoja na kuiba kote bado hata wale wafuasi Polepole aliotuambia milioni 15 hawajafikiwa?
Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu.
NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi, mabegi mengine itakuwa wameyatupa hawajayahesabu.
Yaani hata ccm wenyewe Wamepigwa butwaa.
Mwenyewe nimeshangaa kinyama...eti awamu ya sita[emoji23][emoji23]Duuuuuuuuuh! Awamu ya sita hahahhahha,kweli Tanzania tuna vilaza wengi ety hao ndo wanategemewa na vizazi vyao kuweka nchi kwenye maendeleo ya kijamii,sayansi na technolojia
Hata wasengemtangaza kusingekua na jipya....hata CCM wanaona aibu kushangilia
Amani sio hapa kwetu tenaa. .huko pengineMtaji wa kwanza wa sisi walala hoi ni amani..
Pambaneni, vutaneni lakn msitudhurumu amani..
MWAMBIENU SASA AFUNGULIE INTERNET SI AMESHASHINDA. MAANA TUNATESANA BURE SASA. WACHENI MAISHA YAENDELEE
Lissu mbwembwe zote zile kapata kura milioni moja?
Hongera sana Rais WETU. Hongersa sana Watanzania kwa maamuzi yetu mema.Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule...
12mil kwa 1mil?! Give Me A Break..
Nchi imepoa watu hawana furaha utafikiri wamefiwa.
Ina maana zaidi ya wapigakura million 14 waliojiandikisha hawakupiga kura haya ni zaidi ya maigizo ya Tom & Jerry.
View attachment 1616179
Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimuLissu anaugulia maumivu tu huko aliko. Ha ha ha ha ha ah ha ha ha haaaaaaa