Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

CHADEMA mnakurupuka sanaaa kampeni zs Uchaguzi mkuu taangu zinaaanza tunaomba Ilani ila mlikua mnatupiga Danadana mara Ni yeye Ni yeye Ni yeeee Ni yeyeye Nyomi la Lissu Chatto Nyomi la Lissu Geita Nyomi la Lissu Kawe mambo ambayo hayana hata tija na tuliwambia humu kuwa kwa mlivyojidhatiti mwaka huu hatutarajii kusikia nimeibiwa kura.

Chama kinaingia kwnye Uchaguzi hakina hata Tallying Center hata moja hata kama mmeibiwa lakini hata tukisema leteni matokeo yenu nayo hata hamna mawakala wenu wana njaa sanaaa hawawezi ku concrtrate kwenye uchaguzi kama hamjampa hata ya biscuit za sh. 200

Yaani mlitaka wananchi wawachague tena halafu mje kuhamia CCM tena? Kwa kipigo hiki naona imekua Fundisho kwa vibaraka wote wa mabeberu ni Kipigo cha mbwa koko!
 
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi.
Serikali ifanye hivyo, halafu muanze visingizio kuwa hakuna demokrasia!! Hamjijui basi tu...!
 
Kuiba kote hata 99.999% hajapata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1]
IMG_20201030_214612.jpeg
 
Hapo ni pamoja na kumjazia kura FAKE za million kadhaaaaaa
Hao milioni 15 ambao hawajapiga kura wameishia wapi? Pamoja na ujambazi wootee bado mnaambulia chini ya asilimia 40 ya waliojiandikisha?
Kweli Dikteta uchwara amekataliwa!
 
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo.

Natamani Mw. Nyerere afufuke kwa siku moja, aje ajionee.

Penyewe apa nilitegema ushindi wa 95%
 
Kama ni uchawi basi ni huu
80% ya wapinzani atukupiga kura
Tumesema hata ukipigia kura upinzani bado ccm watajitangaza wenyewe wameshinda
Ni kweli kila kona ya nchi ukimuhoji mpinzani amezira kupiga kura
Mil 29 waliojiandikisha
Mil 15 wamepiga kura
Ccm wamejipigia kura mil 12

Wapinzani tumekaa vijiweni na majumbani
Mil 14
Kisha sisi ndio wa kwanza kulalamika tumeibiwa
Tulitaka kura zetu wakatupigie majini?
Kifupi sisi wenyewe tumeridhika na msemo wa wahenga zimwi likujualo alikuli ukakwisha
Ngoja tuendelee na zimwi mwenyeji kuliko zimwi mgeni…
 
Mimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu

Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge

Enzi za akina Mzindakaya Maji y tanga

Bunge la usingizi ,Binafsi na wana cc wengi ni aibu kuu

Tunarudi karne ya 20

Wana ccm wengi hatuna raha sana,siasa ni ushindani na ndio raha
Jf wabadili jina la jukwaa...liwe jukwaa la mapenzi au comedy tu....hahahahaha
 
Mimi nilipenda iwe 100.

Ni wakati sasa wa wabunge wetu kwenda kufutilia mbali sheria ya vyama vingi ili kuonfoa hawa vibaraka wapinga maendeleo
Unajua maana ya vyama vingi au unaongea upupu tu hapo ....
 
Back
Top Bottom