Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Afungue internet.. anaogopa nini.. kuapishwa sisi inatuhusu nini .
Wamesema anaapishwa lini...??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesema anaapishwa lini...??
Serikali ifanye hivyo, halafu muanze visingizio kuwa hakuna demokrasia!! Hamjijui basi tu...!Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi.
NEC wamemuibia kura mpeperusha bendera wa CCM.. Kiukweli alistahili ashinde kwa asilimia 99% au zaidi. Dahh!!, Inasikitisha
Sana
[emoji1][emoji1]Kuiba kote hata 99.999% hajapata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao milioni 15 ambao hawajapiga kura wameishia wapi? Pamoja na ujambazi wootee bado mnaambulia chini ya asilimia 40 ya waliojiandikisha?
Kweli Dikteta uchwara amekataliwa!
Mimi nilipenda iwe 100.dah ilitakiwa iwe 98%
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo.
Natamani Mw. Nyerere afufuke kwa siku moja, aje ajionee.
Labda siku hizi kuna maana nyingine ya democracy....nje na hapo hakuna democracy ww ndo hujielewi unaongea tuSerikali ifanye hivyo, halafu muanze visingizio kuwa hakuna demokrasia!! Hamjijui basi tu...!
Anayo afya ya kutosha ya mwili, saiklojia na roho ya kuendelea na majukumu ya uraisi?
[emoji1][emoji1]View attachment 1616185
J2 ndio anapewa mikoba kama sikosei.
Panahitajika reform ya hali ya juu kwenye hii nchi, yani tunaishi kwenye uozo.
Jf wabadili jina la jukwaa...liwe jukwaa la mapenzi au comedy tu....hahahahahaMimi ni mwana ccm lakini mmmh balance ni muhimu
Tunarudi bunge la kulala usingizi enzi za wakuu wa mikoa pia wanakuwa wabunge
Enzi za akina Mzindakaya Maji y tanga
Bunge la usingizi ,Binafsi na wana cc wengi ni aibu kuu
Tunarudi karne ya 20
Wana ccm wengi hatuna raha sana,siasa ni ushindani na ndio raha
Unajua maana ya vyama vingi au unaongea upupu tu hapo ....Mimi nilipenda iwe 100.
Ni wakati sasa wa wabunge wetu kwenda kufutilia mbali sheria ya vyama vingi ili kuonfoa hawa vibaraka wapinga maendeleo
Hakika hautadumu milele, mwisho wako utakuwa mbaya sana! tuombe uzima.