Lakini si mnakumbuka jamaa HAJARIBIWI?Pamoja na kujenga maflyover bado mnaogopa sanduku la kuraπππππππππ!!!
Jaribuni aenguliwe muone kifuatacho,mtajuta kushabikia upumbavu!
Ratiba ilionyesha shughuli kuanza mida ya SAA tatu ila muda haukuwa rasmi kwa wote sio chadema tuuUnajua rariba ikoje na sasa hivi ni saa ngapi?
Sio kweli, NCCR wanaanza kabla ya chademaMaajabu. Kwenye Ratiba Chadema walikuwa mbele ya chama cha Mbatia. Ila naona chama cha Mbatia wameitwa.
Vipi wa nyuma ya Chadema kuitwa na Chadema kurukwa.Ratiba ilionyesha shughuli kuanza mida ya SAA tatu ila muda haukuwa rasmi kwa wote sio chadema tuu
Form yao hakuwa imekamilika thus why sio kulalamika tuuMkuu haujui kusoma? Amekueleza kwenye ratiba CHADEMA walipaswa kutangulia kuwasilisha fomu kabla ya CUF.Lakini mpaka sasa CHADEMA wamewekwa kando na CUF wameshakabidhi fumu zao.
wa ma yako ungeseAcheni ungese kila kitu kulialia tu
Ulitaka kikae wapi?.Hiki chama cha CHAUMA mbona kinapenda kukaa sana karibu na CHADEMA katika paragraph? Tume wanafanya hivyo hata kwenye makaratasi ya kura ili kuwachanganya Wazee wa vijijini badala ya Kupiga [emoji736] kwenye Chadema wanajikuta wamepiga[emoji736] kwenye Chauma.
Kaanzia chini kwenda juuSio kweli, NCCR wanaanza kabla ya chademaView attachment 1547576
Je, ni maisha ya namna gani? Au purpose ya kuishi nje ni ipi?
Karibu na ccm..Ulitaka kikae wapi?.
Yupi ! Be patientVipi wa nyuma ya Chadema kuitwa na Chadema kurukwa.
Wewe umejuaje kama haijakamilika?Form yao hakuwa imekamilika thus why sio kulalamika tuu
Unanifokea??? Unajua Niko wapi?Wewe umejuaje kama haijakamilika?
DuuhπππKusubiri uteuzi au kupewa majibu ya Kama Lisu kateuliwa au la? Kwani kurudisha fomu lazima uteuliwe? Lisu mwanasheria koko
Alichoandika hakiko sawa kisheria
Mimi namzidi kumshinda kisheria japo sikusoma sheria Lisu Yuko zero kisheria kwenye hili Mimi namuacha mbali