Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Pamoja na kujenga maflyover bado mnaogopa sanduku la kura😁😁😁😁😁😁😁🐭🐭!!!
Jaribuni aenguliwe muone kifuatacho,mtajuta kushabikia upumbavu!
Lakini si mnakumbuka jamaa HAJARIBIWI?
Natamani niwaone mkitoka kwenye keyboard kwenda kukinukisha.
 
Figisu zinaendelea
Screenshot_20200825-134611_Twitter.jpg
 
Mkuu haujui kusoma? Amekueleza kwenye ratiba CHADEMA walipaswa kutangulia kuwasilisha fomu kabla ya CUF.Lakini mpaka sasa CHADEMA wamewekwa kando na CUF wameshakabidhi fumu zao.
Form yao hakuwa imekamilika thus why sio kulalamika tuu
 
Hiki chama cha CHAUMA mbona kinapenda kukaa sana karibu na CHADEMA katika paragraph? Tume wanafanya hivyo hata kwenye makaratasi ya kura ili kuwachanganya Wazee wa vijijini badala ya Kupiga [emoji736] kwenye Chadema wanajikuta wamepiga[emoji736] kwenye Chauma.
Ulitaka kikae wapi?.
 
Huu ucheleweshaji siyo bure. Kuna mpango muovu unaendelea. Ndiyo maana wanamuweka mwisho ..... Sitashangaa kusikia POLICCM wanaanza kusogezwa kwenye viwanja vya NEC .... No wonder hata kwenye Biblia akina Yohana hawakupewi vyeo vya juu. Kwa kawaida ni wasadizi wa wengine!!
 
Kusubiri uteuzi au kupewa majibu ya Kama Lisu kateuliwa au la? Kwani kurudisha fomu lazima uteuliwe? Lisu mwanasheria koko

Alichoandika hakiko sawa kisheria

Mimi namzidi kumshinda kisheria japo sikusoma sheria Lisu Yuko zero kisheria kwenye hili Mimi namuacha mbali
Duuh😁😁😁
 
Back
Top Bottom