Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Muwe mnauvumilivu sio mnaharaka kama mnaharisha.
 
TAL. Mungu akunyoshee njia. Akusimamie na kukulinda. Amina.
 
UOVU wa magufuli na wahuni na majizi ya tumeccm lazima utendwe wengine wakiwa wameshaondoka. Hawataki wa vyama vingine vya upinzani wawepo. Lissu kafika tangu 11:45am hadi saa hizi 2:13pm bado anasubiri tu 😳😳😳😳
 
Lissu asisubiri mpaka mwisho, wanatakiwa walazimishe sasa hivi kuingia humo ndani bora hilo zoezi livurugike, akikubali kusubiri mpaka mwisho atazuiwa kurudisha au huyo mpokeaji anaweza kuondoka ofisini kwa mlango wa nyuma akisindikizwa na polisi wao waache hapo. Lissu anatakiwa kulazimisha kuingia humo ndani sasa hivi.
 
Kuna jambo hapo limepangwa, kwanini hawakupanga kwa alphabetical order badala yake imeanza CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…