mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAL. Mungu akunyoshee njia. Akusimamie na kukulinda. Amina.Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
UPDATE:-
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!
Amechelewa... Kuingia
asante kwa maoni yako.Mkuu inchi yetu hii hata kibajaji akipewa anaendesha bila shida. Tatizo ni kuendesha vizuri au vibaya. So swali lako ni mufilisi.
Kuna jambo hapo limepangwa, kwanini hawakupanga kwa alphabetical order badala yake imeanza CCM?Ninaangalia kituo cha Taifa cha luninga cha TBC hapa wakionyesha mubashara, matangazo hayo.
Hata hivyo nimeshangazwa kwa kuona wagombea wa chama cha CUF wakiingia kwenye chumba cha kurejesha fomu, wakati wrnzao wa Chadema, ambao kwenye ratiba walikuwa wamewatangulia wakiendelea kusubiria kwenye "Holding Room" ambapo haijulikani wataingia saa ngapi.
Hii Tume isifanye masihara na amani ya nchi hii, wanapaswa watekeleze majukumu yao wakiwa huru na wasikubali hata kidogo kupokea maagizo toka juu!
Sasa kwa nini wanaenda nje ya Ratiba?Wote Watarudisha Form Leo
Ameingia saa 5:45Amechelewa... Kuingia