Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Duh! Kila saa mnaibuka na jipya!
 
Watatorokamda si mrefu wenyekiti afisa kipenyo na wenzie watasepa kupitia mlango wa nyuma , utasikia mda wa kurudisha fomu umeisha hayana hata aibu ,hivi hapo Dodoma mnasubiri nini kikinukisha.
CCM ni chama cha kishetani kilichosalia Duniani
 
Sasa ni zamu ya ADC ha ha ha ha Lissu bado yuko kusubiri ambayr kimsingi amewahi .
 
Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..

Wewe hata huelewi kinachoendelea ni bora kunyamaza tu
 
Bado wapo tu kwenye holding room wakati wanajua kabisa waliharibu kazi kabla ya tukio kufika.

Hata TL mwenyewe alijua haweza kuteuliwa maana Hana vigezo Ila lengo lake nikukiua Chama Cha demokrasia na maendeleo Kisha arejee zake ubeligiji kwenye nchi yake.
 
Kwa mujibu wa Ratiba ya tume iliyotoka ni wazi Wameanza wale wote walioteuliwa akiogoza Magufuli baada ya hapo watafuata ambao tume haikuwateuwa kwa sababu mbali mbali.

TUsubiri tuone ni nani hasa ambao hawakuteuliwa.
Stay tuned

Kwa lissu haliwezi kutokea kwasababu ni mwanasheria mbobezi hawezi kukosea kujaza form.
 
Ni kuhatarisha Amani ya nchi bila sababu....

Tunamtaka Tundu Lissu
Hivi ninyi machizi kweli. Tundu anafanya upumbavu halaf akatwe mseme kuhatarisha amani ya nchi. Amepangiwa saa 6 kachelewa kufika mlitaka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…