Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zinasemaje kuhusu taratibu? Je ni taratibu gani za Uchaguzi zilizovunjwa kabla ya kuteuliwa?Sijafahamu mkuu
Watu wanaandaliwa kusaikolojia zaidi,kwa sabbu utaratibu wa ratiba umevunjwa...na sasa wamefanya vitu randomly!
Umejaliwaa msambwanda dahMnaweweseka magwanda
Duh! Kila saa mnaibuka na jipya!Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
huko Kara uvccm mwenzako mmoja yuko kwenye friji ya mochari baada ya kujaribu kumteka mgombea wa CDM.Mnaweweseka magwanda
CCM ni chama cha kishetani kilichosalia DunianiWatatorokamda si mrefu wenyekiti afisa kipenyo na wenzie watasepa kupitia mlango wa nyuma , utasikia mda wa kurudisha fomu umeisha hayana hata aibu ,hivi hapo Dodoma mnasubiri nini kikinukisha.
sasa mkuu unataka afanyaje sasa aingie road?sasa Lisu naye aache uoga kama wa lowasa. kama bado tu anasubiri kuitwa...
Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
Kwa mujibu wa Ratiba ya tume iliyotoka ni wazi Wameanza wale wote walioteuliwa akiogoza Magufuli baada ya hapo watafuata ambao tume haikuwateuwa kwa sababu mbali mbali.
TUsubiri tuone ni nani hasa ambao hawakuteuliwa.
Stay tuned
Sifahamu mkuu,tusubirie wajuajiSheria zinasemaje kuhusu taratibu? Je ni taratibu gani za Uchaguzi zilizovunjwa kabla ya kuteuliwa?
Hivi ninyi machizi kweli. Tundu anafanya upumbavu halaf akatwe mseme kuhatarisha amani ya nchi. Amepangiwa saa 6 kachelewa kufika mlitaka nini?Ni kuhatarisha Amani ya nchi bila sababu....
Tunamtaka Tundu Lissu