Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kuna nini? Tupeni basi updates tujue kinachoendelea.
 
Dunia nzima ,nchi imesimama hata lumumba wametega masikio kwa lissu daaah Kuna watu wana nyota aisee
 
Kakudanganya nani fuatilia LIVE TBC..wamesema bado viwili tuu!! CHADEMA HAIPO
Hivyo viwili ni kuwa hawajafika NEC yani wameingia mitini. Bado vyama vinne ambavyo vipo ndani
 
Hivi akikatwa kuna mtu wa kuinua mdomo, au tutainua midomo kwenye keybord na kuandamana humu humu?
 
Hivyo viwili ni kuwa hawajafika NEC yani wameingia mitini. Bado vyama vinne ambavyo vipo ndani
Kwa maelezo yao sio kwamba ndio bado!? Kuwapa nafasi za kugombea!?
Huyo mama kaanza kuporomosha mawe hapo NEC
 
Milango INAFUNGWA SAA 10....

Ila Wale Wote Waliofika kabla WATAKAGULIWA FOMU ZAO....
 
Kwenye picha namuona jmaaa anawaka taa nyekundu kwenye paji la uso wake bt ni kitu gani kile wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…