Vyama viwili vimeingia mitini bado vinne na anayefuata sasa ni LissuKwa maelezo yao sio kwamba ndio bado!? Kuwapa nafasi za kugombea!?
Huyo mama kaanza kuporomosha mawe hapo NEC
Ingia hapaAnasemaje mkuu huyo mama
Kama Membe karudisha fomu Sina shida Hata wampitishe Tundu Lisu kugombea Zanzibar Lisu hapati kura kigoma na popote walipo wapemba na waislamu Tanzania bara na visiwani hapati kuraKesharudisha, una jingine.?
Kuna mpango unasukwa. Si bure!letβs hope for the best but it does not look good at all. Waiting for four hours to return nomination forms Numbisa!?
Saa kumi ndo hii, kwani vipi?Kuna mpango unasukwa. Si bure!
Nahisi kuna mgombea moja ambaye atakuwa sacrificed ili Lissu asionekane amekatwa peke yake. Machale yangu yananiambia ni Rungwe!!
Mkuu huyu inabidi tumkeep busy(tumtulize) aachane na siasa asitusumbue jukwaani hapa.Aise huyu Jane lowasa
Ni shida, mtoto guguu, hko nyuma balaaa
Rangi ya, mtumeee, kama kachorwa vile
Ngj Ntakpa connection
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Tutafanya humu humu maana humu hakuna virungu wala washawasha. Kesho tutaendelea na maisha kama kawaidawewe unaonaje mkuu
teh tehTutafanya humu humu maana humu hakuna virungu wala washawasha. Kesho tutaendelea na maisha kama kawaida
Hebu weka picha yake tuone.Aise huyu Jane lowasa
Ni shida, mtoto guguu, hko nyuma balaaa
Rangi ya, mtumeee, kama kachorwa vile
Ngj Ntakpa connection
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Khaaa my dear bado tunakupenda usitufanyie hivyoMie nasubiria waseme suu niingie road .nimechoka kuvumilia haya aisee..Tena naanza ofisi za CCM mkoa..namwaga petrol
TBC walikata matangazo wakaweka katuni.Atakuwa mubashara kupitia luninga gani bwashee?
Kama Membe karudisha fomu Sina shida Hata wampitishe Tundu Lisu kugombea Zanzibar Lisu hapati kura kigoma na popote walipo wapemba na waislamu Tanzania bara na visiwani hapati kura
ππHaya kampikie mumeo senene