Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Chadema msindikizi mpaka afike kwake wanapanga kumkamata Kuna magari ya TISS na police nje ya jengo la tume ya uchaguzi.

Jiwe ajiandae kuondoka Ikulu.

Kashinikiza akatwe system ya nchi imemgomea ngoja sasa aone mziki wake kuelekea October.


Uhuni sasa...... basi.......
Uhuni sasa ......basi..........
Wizi wa kura sasa .....basi.....

Uhuru wa pili wa JMT.
 
Ni kweli kabisa - Nuru na giza havitengamani (Biblia). Shetani anashangilia watu wakipigwa risasi, wakifa katika ajali za barabarani, udhalimu nk. Lakini haya ni mambo yanayomsikitisha Mungu wa mbinguni.
Shetani Ni mzazi wako wa kike 🤪. We usilazimishe watu wote tuwe na mtazamo mmoja, haitakaa itokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…