Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Ni Rasmi Sasa!

Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.

Kulikuwa na hofu kubwa katika nchi kuanzia asubuhi baada ya Mgombea wa Chadema Kuwasili katika ofisi za Tume tangu asubuhi saa 5 Kama Ratiba ilivyoelekeza lakini Time haikumteua kwa wakati kwa kile walichodai bado fomu zake kuhakikiwa
Wala haina mvuto. Kama Chadema mlishindwa kufuata maelekezo ya uhakiki wa fomu tuu mna taka kujisifu kwa lipi? /majukwaani tu hadi mnashindwa kutimiza mambo ya msingi??
 
Basi tuungane tuwapongeze wagombea woote walopitishwa na NEC kupambana na raisi wa sasa John Magufuli October 28th 2020.

Hongera zake sana Tundu Lissu kwa jitihada zake.

Hongera pia kwa viongozi na wafuasi wa CDM wakiongozwa na John Mnyika kwa utulivu na usikivu wao wakiwa ndani ya Dodoma.
 
Yani nina furaha kubwa mno kuliko maelezo!

Sasa ngoja tusubiri wale walioko nje AKA wasiojulikana wana mpango gani!

Siyo siri ccm wanaenda kwa style ya ku “beep”, hawajui nyakati zishawatupa mkono.
Atapata kura laki moja?
 
kisspng-v-sign-peace-symbols-silhouette-victory-and-peace-day-5b4ae17caa25c9.29511780153163404...jpg
 
kuna watu watalia sana mpaka 2100, bahati mbaya ata hio 2100 hawatakuepo
 
Ni Rasmi Sasa!

Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.

Kulikuwa na hofu kubwa katika nchi kuanzia asubuhi baada ya Mgombea wa Chadema Kuwasili katika ofisi za Tume tangu asubuhi saa 5 Kama Ratiba ilivyoelekeza lakini Time haikumteua kwa wakati kwa kile walichodai bado fomu zake kuhakikiwa

Kwa kadiri muda ulivyokuwa unasogea ndivyo Watanzania walivyokuwa na hofu kwa kile walichodhani Kuna hujuma dhidi ya chaguo Lao .

Taarifa kutoka mikoa kadhaa inasema Mara baada ya kuteuliwa Shangwe za watu zimesikika kutoka sehemu kadhaa zikiwemo za starehe, masokoni na mashuleni huku kwa jiji la DSM watu kadhaa wamesikia wakipiga honi za magari barabarani Kama ishara ya kufurahia kuteuliwa Tundu Lissu ambaye anaonekana ndiye mwenye uwezekano mkubwa wa kushinda nafasi hiyo ya Urais kutokana na kuungwa mkono na Wananchi walio wengi.
Mungu ni mkubwa!

Hakika sasa Tundu Lissu, mgombea wa Chadema, atapambana na John Magufuli, mgombea wa CCM
 
Kumbe bado mtihani huko pale pale

Halafu hii nguvu waliyopewa hawa wateule wa Mh. Rais yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa serikali waitumie vizuri na kwa weledi mkubwa wa uzalendo halisi kwa manufaa mapana ya demokrasia na amani nchini.

Kazi kwao umma wote unawaangalia ktk masaa haya hadi kesho jioni saa 10:00 tarehe 26 Agosti 2020.

Na lolote litakalotokea liwe jema au hasi msalaba huu mzito wataubeba. Lakini matumaini watatumia hekima kuacha wananchi waamue wenyewe hiyo tarehe 28 Agosti 2020.
 
Chadema wanacheza mchezo wa serikali, CCM na NEC toka siku Lisu anaingia TZ, lakini wao wanadhani kinyume chake. Kila wanachokitarajia kinakuja kinyume chake, itakwenda hivi hadi mshindi anatangazwa. Mda utaongea
Mungu wetu ni yule yule wa mababu zetu kama alivyoanishwa katika biblia takatifu yaani Mungu wa Musa, Ibrahimu na Yakobo . Jina lake ni kubwa kuliko jina lolote humu duniani na mbinguni... halichuji wala hali pauki...kwa maana aliyajua malengo yake hata kabla ya kumuweka katika tumbo la mama yake... ayatakayo yatatimia na hakuna binadamu awezaye kupingana naye hadi siku za dahari...
 
Back
Top Bottom