Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kitendo Cha Tume ya uchaguzi kuwachelewesha wagombea wa Chadema Mpaka muda huu Ni ushahidi tosha kuwa tume ya uchaguzi wana nia ovu ? Hili Ni swali tujadili , wote kina Hashimu Rungwe , Lipumba , wamekizi vigezo mwanasheria mwandamizi ndio ashindwe tume ebu acheni hizo.
 
Ni Rasmi Sasa!

Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.

Kulikuwa na hofu kubwa katika nchi kuanzia asubuhi baada ya Mgombea wa Chadema Kuwasili katika ofisi za Tume tangu asubuhi saa 5 Kama Ratiba ilivyoelekeza lakini Time haikumteua kwa wakati kwa kile walichodai bado fomu zake kuhakikiwa

..bila video clip, tena yenye sauti, mimi siamini habari hii.
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
MWAMBA KATEULIWA kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Sasa mjiandae na kupiga push-ups jukwaani... sasa tunasubiri kujibu mapingamizi (amblyopia tunajua yapo mengi tu kkutoka kwa watu waoga).. #TunduLissu2020 #nohatenofear @TunduALissu
Wenye wivu wajinyonge jama ,wenye wivu wajinyonge
 
Moderator wekeni kibox CHEKUNDU - breeking News HIII NI HABARI MUHIMU SANAAA
1598370387410.jpeg
1598370387410.jpeg
 
MWAMBA KATEULIWA kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Sasa mjiandae na kupiga push-ups jukwaani... sasa tunasubiri kujibu mapingamizi (amblyopia tunajua yapo mengi tu kkutoka kwa watu waoga).. #TunduLissu2020 #nohatenofear @TunduALissu
Bila kusahau kula mahindi ya kuchoma, waandae mahindi ya kutosha maana ndio sera yao mpya
 
Yani nina furaha kubwa mno kuliko maelezo!

Sasa ngoja tusubiri wale walioko nje AKA wasiojulikana wana mpango gani!

Siyo siri ccm wanaenda kwa style ya ku “beep”, hawajui nyakati zishawatupa mkono.
Kwamba CCM wanaenda kwa style ya kubeep? 😂😂 Hizi ndoto sijui huwa mnaziotaje🤔
 
Siyo kulia lia bali ni kukumbuka udhalimu mkubwa unaoshamiri Nchi hii Numbisa na wewe unaufahamu. Kushambuliwa, uchunguzi kutofanywa, kunyimwa pesa zake za matibabu na pia kuporwa Ubunge wake kisha kusubirishwa kwa zaidi ya masaa matano.

Sasa mlikua mnalia lia nini. Magu hanaga ushamba ule wa kukata wapinzani wake
 
Yaani BBC kama media kubwa mnaogopa kutangaza kupitishwa kwa Lissu kweli au ni woga kutokana na ile sheria mpya?
 
Back
Top Bottom