Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Huna upande aiseee naona hujiamini kijana sijui mzee. Tume ipo huru michecheto yenu tu.

Nyie na nani? Mimi sina upande ila najaribu kukuelewesha. Huwezi sema mtu fulani hana ushamba huo wakati mwenye mamlaka ni tume. Kwanini umuhusishe magu?
 
Kwanini katiba isiangaliwe upya ili raia pia tuwe na uwezo wa kuweka pingamiza kwa baadhi ya wagombea?..

Kuwe na muda wa kutosha kama wiki 2 kuweka mapingamizi...na raia kwa upande wetu turuhusiwe kuwa na saini laki moja ndio tumuwekee pingamizi mgombea wa Urais..

Ngoja niongee na Mzee wangu Rungwe tuwawekee pingamizi wagombea wote..
 
Afadhali jina limepitishwa. Tulikuwa tumechoka na kelele za nyumbu. Sasa karibuni kwenye uwanja tuliouzoea.
 
Wamelazimika kumpitisha

Sasa Jaji awe Makini na Hizo rufaaa majimboni na kata
Haingij akilini hadi mtu kama Waziri Mkuu majaliwa anafanya Uhuru wa kuteka watu na heshima yake yote
Sawa tiutamsamehe Kabidi kwakua ni Mjinga
 
Huna upande aiseee naona hujiamini kijana sijui mzee. Tume ipo huru michecheto yenu tu.
Nisijiamini kisa nakosa nini.?
Nimeshakwambia sina upande ila huu mchezo unapendeza zaidi ukiwa fair...
Sisi washangiliaji (sio mashabiki) ndio tunaenjoy zaidi. Lakini usipokua fair haina tofauti na vurugu
 
CCM wenyewe hawamtaki huyu muuaji, mtekaji, wa ndugu zetu. Usibabaishwe na hawa watetezi wanaoshinda humu JF. Hawa wa humu JF ni vijana wasio na ajira but wamepewa ajira isiyo rasmi Lumumba.
[/
Mmmmmh..
 
Kwa ninavyoijua Tanzania na Watanzania bado Lissu angekatwa na hakuna ambacho kingetokea..

Kama wagombea wenu wanatekwa bado mnalialia tu kwenye mitandao na finally CCM wamepewa hayo majimbo...kwanini na nyie msiwateke wagombea wa CCM?
 
Popote mlipo, Huu ni ushindi lakini nafsi haina Amani nyie kusafiri usiku huu. Tunawapenda sana, tumeelewa kuwa mnafanya siasa katika mazingira magumu sana. Michezo yao ishajulikana, wao UTU, UBINADAMU hawana, Wao wanatanguliza masilahi yao binafsi mbele.

Nashuhudiwa msitembee umbali mrefu usiku huu, Tunawaombea sana tena sana.

Naomba Moderator msiuufute uzi huu, Mhimu sana kuhabarishana hata kwa haraka namna hii.

Usambaze ujumbe huu uwafikie akina @hildanewton na wengiwo wote tunaowapenda.


AhsanteniView attachment 1547958
20200825_195711.jpg
 
Mambo ni moto, chakula cha moto, mboga za moto na maji yakunywa ni ya moto.
 
Jiandaeni ki-saikolojia mimi nipo gado na kesho saa 9:00 mchana naweka pingamizi kwa nini raia wa Belgium awe kwenye sanduku la kura? Patamu hapo!
Mbona wewe ni Interahamwe hatusemi??...
 
Back
Top Bottom