Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Walikuwa wanachezea shilingi Chooni hawajui hasira za wananchi maana hata wana CCM wana hasira balaa
Nadhani walikua wanasoma upepo na kwenye mjadala wa maagizo ya meco wamekubaliana kua wao wananawa wakitaka wamfanyie rafu huko mbele..... 🤔🤔
Tume mmejahidi kwa kiasi chenu
 
Tuwapelekee magodoro
 
Hata akipitishwa awezi kushinda
Wewe u mzoefu wa kutanua/kupanua goli.
Mlianza kusema harudi,hata akirudi atakamatwa.
Mara mkarukia hapiti kura za wajumbe wa Chadema.
Mkaja kusema atakatwa kwenye uteuzi.
Leo mnakuja na "awezi shinda".
Endelea kupanua na kupanua na kupanua mnaopenda mpanuliwe.
N:B; "awezi kushinda" ni lugha ya wapi? Wewe ni mkimbizi?
 
Hujiamini ndio maana unakurupuka na kupanic. Nimeshatype kuwa magu hausiki na teuzi za nec na wagombea urais acheni kumchafua kwa style ya kulalamika mmeonewa.
Nisijiamini kisa nakosa nini.?
Nimeshakwambia sina upande ila huu mchezo unapendeza zaidi ukiwa fair...
Sisi washangiliaji (sio mashabiki) ndio tunaenjoy zaidi. Lakini usipokua fair haina tofauti na vurugu
 

Hicho ni kipimo kuwa kamanda Tundu Lissu anakubalika na waTanzania wote bila kujali vyama maana wanataka kufanya mabadiliko yaani uasi kupitia sanduku la kura.

CCM Mpya imefanya uasi kwa kufanya mambo tofauti na awamu zingine za CCM wakiamini wanataka Maendeleo ya Vitu. Uthubutu wa CCM Mpya kufanya uasi ndiyo tunaona yote haya ya kusababisha maisha ya waTanzania kuwa magumu. Bila uasi huwezi kupata maendeleo ya aina mpya.

Sasa waTanzania wanataka kufanya uasi kwa kufanya mabadiliko ili wapate Maendeleo ya Watu na uhuru, bila uasi CCM Mpya isingejenga flyovers, kununua bombardier au kujaribu kujenga Maendeleo ya Vitu.

Tatizo maendeleo ya Vitu yameleta umasikini na uhuru wao kupotea. Hivyo wananchi wana hamu kupata Maendeleo ya Watu kupitia chama mbadala anachowakilisha Tundu Lissu.
 
Hujiamini ndio maana unakurupuka na kupanic. Nimeshatype kuwa magu hausiki na teuzi za nec na wagombea urais acheni kumchafua kwa style ya kulalamika mmeonewa.
Sawa sawa umeshinda[emoji119]
 
Hay
Hay yanafanyika kwa sheria gani, muulizeni Lissu, si ni mwanasheria, atajua ni sheria gani imetumika kumsubulisha hapo kwenye holding room! Hivi kweli anataka waingie huko kwenye kupokelewa fomu kama kuku bila utaratibu au anataka apewe kipaumbele kwa sababu gani. Mwambieni ajifunze kuwa mvumilivu. Uvumilivu ni ishara na dalili ya USTAARABU.
 
Kiingereza cha nini wewe Lissu au unawataarifu mabwana wale waliokutuma ukarudi mbiombio?
na bado Jiwe litasaga unga mpaka lichoke maana tutaliongezea muda wa kutawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…