BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Wakati Lissu amekomaa kushambulia beki yake majimboni imekatika na mpaka muda huu ameshapigwa 22-0.
Lissu endelea kuwekeza kwenye walinzi wanaovaa ma spotlight ya underground kichwani, hadi unashtuka hayana dili na hayamtishi yeyote utakuwa umepoteza karibu majimbo yote. Utaongozaje nchi bila wabunge, mi sielewi..