BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kila wanalofanya wanjikuta Lissu anazidi kubarikiwa.Tume imempa heshima sana TAL kwa kumuweka mwishoni maana kiprotacal Rais huwa wa mwisho kwenye hafla yoyote ile kwa tume bila kunua imempa heshima kubwa sana sana TL maana nchi nzima walibaki wanafuatilia uteizi wa lisu habari ya uteizi WA wengine ulisahaulika kabisa.
Baada ya RAIS TAL kuapishwa issue ya wabunge ni ndogo sana tulia weweWakati Lissu amekomaa kushambulia beki yake majimboni imekatika na mpaka muda huu ameshapigwa 22-0.
Lissu endelea kuwekeza kwenye walinzi wanaovaa ma spotlight ya underground kichwani, hadi unashtuka hayana dili na hayamtishi yeyote utakuwa umepoteza karibu majimbo yote. Utaongozaje nchi bila wabunge, mi sielewi..
Mpaka raha aisee wa kwao hakuwa na bashasha namna hii TL amewapa wakati mgumu sana viongozi wa tume
Hatari sanaKila wanalofanya wanjikuta Lissu anazidi kubarikiwa.
[emoji28][emoji28][emoji28]
Unashangilia ujinga mwanawane!
Kila kona ni furaha tele.Jaman watu wanamchukia JPM, mbona wanafuraha ivi ?! Juu ya TAL kuteuliwa .
Na zile gari DCB T 245 kukamatwa mapema.Isingekuwa maonyo ya Robert kama naona
Boya ni wewe mwakilishi wa chato wananchi wapi watamshangaa? Maana wananchi wa Tanzania wanamuelewa sana acha kuwasemea wananchi waliozinduka kwa kujua CCM ni chama cha kishetani na uonevu.Mwambie huyo boya Serikali hii haina uonevu kwa walemavu, wacha aje kwenye kampeni aone wananchi watakavyomshangaa huyu mwakilishi wa mabeberu anayetaka wanaume waoane sijui ataanza kuolewa yeye!!?
Usiwe na wasi wasi. Walimpiga risasi 16 hakufa, wakamnyanganya stahili zake hakufa, wakamvua ubunge akasavaivu, wakasema hataurusi huyo mlemavu akarudi, wakasema akirudi tu anapigwa nyingine na kwamba mwaka huu hawatakosa shabaha, mara ooh akija atafikia Segerea, huku wakiseamatanyanganywa passport, atafikia mahakamani, akja mchana kweupe.Sasa lazima tifikirie namna ya kuwabana NEC ili watangaze Lissu siku akishinda. Wasije wanafanya figisu maana kule Malawi rais alishindwa vibaya Ila akatangazawa. Tume hii unaweza kumtangaza Magufuli hata akipata kura elfu 50 tu, huku Lissu akapata kula mil 18
CCM ingekuwa inapendwa na kujiamini isingekuwa inapoteza pesa nyingi kuidhoofisha kuihujumu chadema, mfano sasa jana wamewalipa Shibuda dola laki mbili advance na pia Lipumba dola laki mbili ni sawa na milion mia tano kasoro hivi ili waende NECCCM kumwekea pingamizi ni matumizi mabaya ya pesa za umma.Nchi hii bado hakuna chama cha kusimamia Serikali zaidi ya CCM. Kwahiyo, uwe unataka. Uwe hautaki, Serikali ya CCM itakuongoza tu Jana, leo na kesho. Jiandae tu Kisaikolojia.
Mapingamizi ambayo hayaleta impact yoyote.waache wale pesa za ccm maana hawana perdiemCCM ingekuwa inapendwa na kujiamini isingekuwa inapoteza pesa nyingi kuidhoofisha kuihujumu chadema, mfano sasa jana wamewalipa Shibuda dola laki mbili advance na pia Lipumba dola laki mbili ni sawa na milion mia tano kasoro hivi ili waende NECCCM kumwekea pingamizi ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
NECCCM ni kajumba ka CCMYaani nawachukia sana hawa wasimamiziccm waache wananchi tuchague tumtakaye sio kutuletea mizigo yao wanafanya kampeni wenyewe for 5yrs kinachowaogopesha ni nini?