Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania

Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form

View attachment 1547525
Naona ratiba haifuatwi wanamruka Tundulisu
 
Ninaangalia kituo cha Taifa cha luninga cha TBC hapa wakionyesha mubashara, matangazo hayo.

Hata hivyo nimeshangazwa kwa kuona wagombea wa chama cha CUF wakiingia kwenye chumba cha kurejesha fomu, wakati wenzao wa Chadema, ambao kwenye ratiba walikuwa wamewatangulia wakiendelea kusubiria kwenye "Holding Room" ambapo haijulikani wataingia saa ngapi!

Hii Tume isifanye masihara na amani ya nchi hii, wanapaswa watekeleze majukumu yao wakiwa huru na wasikubali hata kidogo kupokea maagizo toka juu!
 
Lisu tumaini letu magufuli muuaji wetu.hapa kazi tu nimekumbuka kazi alizofanyishwa Mandela gerezani,Lisu Uhuru na kazi (amakweli kuna tofauti kati ya akili zakujibiwa mitihani na kujijibia mwenyewe).#bensa8.ungekua around ungetutajia na aliyejibu mitihani yakitafti ya huyu mwl wa chemistry
 
Hapa kuna watu ndio watajua kuwa hawajui, mpaka saa hii ni kimya!
 
Leo ndipo kuna kizungumkuti! walitegemea awepo mahakamani cha ajabu ametinga NEC Dodoma, sasa je, wamkate/wampitishe?
 
Back
Top Bottom