Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

1598395603023.png
 
Iko hivi muda utaisha Tundu lisu ataambiwa aje jesho. Ila kesho mahakama inalala naye mbele.
 
let’s hope for the best but it does not look good at all. Waiting for four hours to return nomination forms Numbisa!?

Lissu wa mwisho kuhakikiwa na kuteuliwa ondoa hofu
 
Picha akiingia tume imetumwa saa 5 na dakika 47.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa, wenzake walikagua fomu jana. Wao wakaenda leo kukagua na kuwakilisha. Saa nyingine hata kama ni mashabiki wa Chadema tuwe tuna reason vyema. Tujiulize kwanini hawakupeleka fomu jana? Hivi leo zikiwa na shida kuna muda wa marekebisho? Tusiwe wa kulaumu tuu. Nasi tukubali muda mwingine kubeba lawama.. Hili ni kosa limefanywa na chama full stop.
 
Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
Hiyo Ni sawa na kuabirisha Tumbo la kuhara
 
Back
Top Bottom