Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole mkuu. mimba imeshatimiza miezi tisa hakuna namna mkuu..mama Tanzania lazima azae sasa, sisi mamajusi tumeiona nyota ya mtoto kutoka mashariki...jina la mtoto ataitwa UHURU na Kazi.
Tunaweza pata picha zao mkuu. Magufuli mwanzoni na sasa. Asante.Magufuli wakati anaanza kushika madaraka ya urais alikuwa anafuga ndevu na kuziacha kama ndanda Kosovo baada ya muda akaacha.
Hata lisu kuna mambo atayaacha akiwa Rais
Na ndio kazi ya Serikali kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa. Kama hakiko sawa, hata awe Lissu atashughulikiwa. So, afuate taratibu tu. Period!Hivi hii nchi ni ya nani? Na nani mwenye haki zaidi ya mwingine hata aamue nani awe nani!!
Kuna baadhi ya watu tukiwa kwenye ofisi za umma ama au taasisi na idara fulani tunajiona tuna mamlaka ya kufanya chochote tutakacho.
Haiko hivyo, hii nchi ina sheria na imesimamiwa na katiba.
Safari hii mtapiga push ups kwa utosi 🤣🤣🤣Mbona moto wenu 2015 ulikuwa mkubwa zaidi ya huu na tulipita salama chini ya JPM. Safari hii hata hatuna habari na kampeni. Tunasubiri kupiga kura tu. Lissu akipata asilimia 15% njoo unishushue!
Hehee, sawasawa mama wa mijusi, tukutane October.pole mkuu. mimba imeshatimiza miezi tisa hakuna namna mkuu..mama Tanzania lazima azae sasa, sisi mamajusi tumeiona nyota ya mtoto kutoka mashariki...jina la mtoto ataitwa UHURU na Kazi.
Njia ya ukombozi huwa ni ndefu na iliyosongwa mkuu.Hawa tume bana. Nini kumshindisha raia na njaa tangu saa tano asubuhi?
itabidi tupambane hadi mwisho..nukta kwa nukta. hakuna kuachia gepu hata chembe..bandika bandua. ndani ya Tz na NJE ya tanzania.Kihunzi namba 1kakivuka, na kuwekw muda mrefu hapo kumchosha kiakili asipate muda wa maandalizi ya keho mahakamani. Lisu anatafutiwa njia ya kukwamishwa, imeshapangwa nayo ni mahakamani. Ndio kihunzi no. 2. Kukivuka kinaanza kesho.
mkuu sie wanadam kasome kwa kina kitu kina itwa nyakati vipo vitabu vingi then njoo na majibuNi mapema mno kushangilia subirini aidhinishwe rasmi baada ya mapingamizi.
Nakuaminia Mkuu. Shukurani sana Ubarikiwe na Mola.Tundu Antipasi Lissu kapitishwa muda huu kuwa mgombea wa CHADEMA nafasi ya urais...
Acha ujinga bas mzee baba MATAGAWallah Leo sirudi home, nalala nje kwa raha! Potelea mbali, sio kwa raha hizi, nyenyenyenheeeee sshenzy kabisa!
Shughuli zilisimama. Chamsingi alindwe.Jaji kaijage alitaka kufanya ushetani akagundua kuwa atajikuta anahamia kuishi kambini jwtz kwani wafuasi wa chadema watamuandama mno
Hahahaha tume inahakiki inayowahusu tu.Kajaza wadhamini maelfu tume haiwezi hakiki hao wadhamini maelfu ndani ya dakika kumi inataka muda
Labda wadau kama wanazo watusaidie Mimi sina lkn nakumbuka wkt anaanza alikuwa anafuga ndevu style ya ndanda Kosovo mjelajela original.Tunaweza pata picha zao mkuu. Magufuli mwanzoni na sasa. Asante.
Njoo bar yangu Riverside vinywaji bure! PM kwa complimentary voucher code.Wallah Leo sirudi home, nalala nje kwa raha! Potelea mbali, sio kwa raha hizi, nyenyenyenheeeee sshenzy kabisa!
Endelea kuota wewe