Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Piposssss...Kazi imeisha huku Dodoma. Lissu amepitishwa rasmi na tume kuwania urais kupitia Chadema muda huu.
Da poleni Mie kwenye saa 12 jioni kidogo Moyo ushindwe kusukuma damu. Muda wote ilikuwa unatutia Moyo Ubarikiwe.
 
Safi sana! Ningekasirika sana kama NEC ingemkata huyu mtu!

Huyu tutamfundisha sisi wanachi hapo oktoba 28 kwamba hii nchi haiendeshwi kwa shinikizo za amsterdam
 
Kiingereza cha nini wewe Lissu au unawataarifu mabwana wale waliokutuma ukarudi mbiombio?
na bado Jiwe litasaga unga mpaka lichoke maana tutaliongezea muda wa kutawala.
Kwani kuna mtu ajuwi Kiingereza !?
Uyo ni international wa kimataifa
 
Na wenyewe watawekewa pingamizi kwa kutoleta majina halisi ya wadhamini Toka mikoani badala yake wakayatoa kwenye kompyuta ya tume.
Dawa sahihi kwa Lipumba na shibuda ni kuwatembezea kichapo cha mbwa mwizi kwani wameiba pesa za umma kwa kazi haramu
 
We mataga mlishinikiza akatwe sasa hivi lugha imebadilika, nyie subirini
Safi sana! Ningekasirika sana kama NEC ingemkata huyu mtu!

Huyu tutamfundisha sisi wanachi hapo oktoba 28 kwamba hii nchi haiendeshwi kwa shinikizo za amsterdam
 
Kwa Jinsi huu uzi ulivyoenda tu na kwa jinsi ya feelings za watanzania walizozionesha kwenye pages mbalimbali zilizotangaza kupitishwa kwa Lissu. Nina uhakika wa asilimia 100 Tundu Antipas Lissu is our next president 2020 -2025
Hata Mimi naona hivyo.Sasa subiria uasi mkubwa toka chama Cha kijani na ndani ya Vyombo vya serikali kumsapoti mtu huyu.
 
Hii ni kwamba Nchi lisimama kumsubiri LISSU huko NEC
NECCCM walipanga njama za kumkata kwa visingizio vya kishamba visivyo na mashiko lakini wakashituka baada ya kuona nyuzi kibao mitandaoni zikiwandama kuwakanya waache ushetani wao
 
I know Mkuu but just go back to September 7, 2017 to look back on what has happened to him since that date. Let’s hope for the best Mkuu.

He is a law guru... BAK Relax my brother.. Everything is under control
 
Back
Top Bottom