Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Is Lissu constitution lawyer specialist?
 

Tume imejichanganya yenyewe. Wawekewa pingamizi wame"enjoy benefit of doubt". Wamenusurika.
 
Tume inatakiwa ijibu hoja za Lissu kifungu kwa kifungu , Mungu si athumani yaani yesu wa ccm kakosea kujaza fomu maajabu ya Rahman .
 
Mbona sheria inataka mweka pingamizi na aliyewekewa kukutana na mwekews pingamizi ajibu mapingamizi , mbona haikufsnyikz hivyo ? Kama sheria inavyotaka yesu ws ccm aibu kweli masikini .
 
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, huenda Magu asingekuwa mgombea leo...
Lissu ni woga wa kuangukia pua kwenye box la kura na vile vile kutaka kuonyesha wafadhili wake kuwa bado ni mtu relevant. Pingamizi la kusema jumla jumla tu hakurudisha kwa mujibu wa sheria bila kusema ni kifungu gani cha sheria hakikuzingatiwa ni pingamizi la kitoto sana kutoka kwa "mwanasheria msomi aliyebobea", kwa sababu jibu lake ni rahisi sana.

Aliyewekewa pingamizi atasema tu sheria zote zilifuatwa. Pingamizi kutupiliwa mbali (dismissed) ni aibu> Ni afahdali angeota pingamizi kimya kimya kuliko kutoa matangzani mengi kwa mbwebe kam haiku sababu ya kutafuta cheap popularity.
 
Umekirupuka,sikiliza clip uone alivyotaja na sheria husika tena kwa kusoma vifungu na kanuni zake.
 
Wafadhili wapi? Wafadhili na pingamizi wapi na wapi?acha kuchenganya mada, vifungu vya Sheria alivibainisha vizuri lakini wewe huwezi kujua kwa sababu siyo Mtumishi wa NECCCM, pingamizi kutupiliwa mbali kwa njia haramu na za kishetani siyo Aibu yeyote labda ni Aibu kwako wewe mbumbumbu juha usiyejielewa,

pingamizi la mbwembwe limepingwa vizuri lakini majibu ya NECCCM ni haramu hakuna Tatizo kwani watanzania ni waelewa wanejua kuwa NECCCM imemlinda mtukufu mwenyekiti wa CCM kiutu uzima, wenye Akili wote wanajua kuwa NECCCM imemubeba magufuli achilia mbali vilaza kama nyinyi mnaowaza ujinga.
 
Kama unasaka uteuzi kwa uandishi huu pole sana hupati hata uteuzi wa kuwa house boy chato au chamwino
 
Surgeon banaa...

Haya Kapumzike Upate Nguvu Ukachezee Artery Forceps na BP handle, Apone Mgonjwa wetu aaamin...

Magufuli amewatengenezea Mazingira Bora Ya Kazi!!

Alamsiki!!
 

Hakuna sheria hiyo; ebu itaje siyo kuzungumza kijumla jumula tu. Sheria na kanuni za uchaguzi nimekuambatishia hapa. Sheria kuhusu uteuzi wa wagombea inasema hivi:


Halafu kanuni za uchaguzi kuhusu uteuzi wa wagombea zinasema hivi




Sheria ya uchaguzi haiongelei mapingamizi kwa uteuzi wa wagombea wa urais, ila kanuni kuhusu kuweka pingamizi zinasema hivi:




Hakuna inaposema kuwa mweka pingamizi na mwekewa pingamizi wakutanishwe. Mambo ambayo Lissu alikuwa akiongea hayana msingi wowote wa kisheria, lakini tume ilimvumilia tu. Nashangaa watu wanampigia vigelegele tu bila hata kusoma sheria na kanuni zenyewe
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…