Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Haahaa
Yako NEC ulitaka waKuletee nyumbani kwako?

Halafu wewe unamwamini Lisu fomu Ina Hadi sehemu ya kubandika picha unaamini kweli kuwa picha haulikubandikwa?

Lisu anatafita kiki kwenye media kwa.kila hali hata kwa kutunga vitu vidogo vya uongo
badala ya kubandika passport yeye anabandika picha yake akila mahindi.haahaa
 
Mtaa shangaa sana,raisi ww ulisikia wapi mtetezi wa wanyonge anawekewa pingamizi,busara pekee lisu alitakiwa kuifanya nibkujitoa na kumsapoti JPM
 
Sh
Eria zipo kwa wanyonge tu
 
Dadeki Magu kautia kwapani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tume wameona isiwe tabu, wambebe!!!

Sasa tunarudi kwenye agenda nyingine na utetezi na rufaa za kina devota minja na wagombea wa Chadema na Act tume inasemaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakina devo wali name the price zamani mnooooo[emoji12][emoji12]
 
Wewe labda ulitaka tume watoe maamuzi gani?
 

Afanye chochote atakacho, lakini tayari hata hiyo tume itajua hizo sheria wanazosimamia na kuengua wagombea wa upinzani ni hujuma za wazi, na wanatengeneza njia za machafuko. Mpaka sasa imeonyesha wazi pasi na shaka kuwa tume ya uchaguzi sio huru.
 
Wewe labda ulitaka tume watoe maamuzi gani?

Wamuengue Magufuli kama walivyowaengua wagombea wengine wa upinzani kwa mapungufu hayo hayo ya Magufuli. Vinginevyo kilio chetu cha kuwa Tume hii ya uchaguzi sio huru kiko wazi peupe. Lisu amesaidia wazi bila kuacha shaka kuonyesha tume sio huru, na hata matokeo watakayotangaza sio ya kweli.
 
Kwa hiyo wanataka kutuambia kwamba Lissu alikuwa na upofu hakuziona hizo picha?
 
Basi utasubiri sana, ngojea tundu lissu akishaapishwa kuwa rais aje awawekee tume huru.vumilia sio mbali.
 
Kwa hiyo wanataka kutuambia kwamba Lissu alikuwa na upofu hakuziona hizo picha?

Si ndio hapo sasa. Alichofanya Lisu ni kuanika wazi kuwa tume yetu ya uchaguzi sio huru.
 
Sasa Mbona Tume wanaongea blah blah tu?
 
Kwa taarifa yako hela ya muhindi imeliwa. Mwafrika unashangilia muhindi kupita bila kupingwa, nenda India kama mtu mweusi anaruhusiwa hata kugombea.
Acha ubaguzi wewe wa rangi mbona na wenje alikuwa ni mkenya hakuna mtu aliyeleta mdomo mdomo.
 
ndiyo hayo ya mgema akisifiwa

Wadhani mpaka mgema afike kusifiwa kazi ndogo?

Hata hujiuluzi jombi mbona wewe hata kufikiriwa kusiwa tu bado?

Asilaumiwe dobi ile kitu ingine. Mengine haya ni husuda uchwara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…