General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Gsam
Wala usihofu kuna kitu dunia inaoneshwa juu ya Tume. Lissu ana akili saaaana
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi
Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.
Mwaka huu mtamu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikama Lissu anashauku yakuonana na magufuli japo hata amsikie ili roho yake isuuzikeMbona Magufuli hajaenda kuyajibu? Hakutakiwa kuwasilisha utetezi, bali afike ofisini.
Basi utasubiri sana, ngojea tundu lissu akishaapishwa kuwa rais aje awawekee tume huru.vumilia sio mbali.
Acha ubaguzi wewe wa rangi mbona na wenje alikuwa ni mkenya hakuna mtu aliyeleta mdomo mdomo.
Ulishaona wapi mtanzania angombea kenya !?Wenje ni muhindi? Nenda India ukaone kama kuna nyani anagombea na kushangilia kupita bila kupingwa.
Mangi kwani kuna shida???Acha kurudia rudia
Ongea kwa facts siyo kwa hisiaHuyo msomi wa asiyekua na uzalendo wala maadili kwa nchi yake huo usomi wake ni style ya kasuku hatufai.
Mgombea urais anayetetea maslahi ulaya huku akiiacha Tanzania inateketea
Anatamka hadharani ushoga uko hautakiwi kupingwa hii laana ya watoto wetu kuhamasishwa kutigoana na kusagana kwa kuwahamasisha kwamba sheria inakataza kuingilia faragha za watu. Kwanza maneno yake yanatupa wasiwasi sana kuhusu matendo yake
Kama hao waliomtuma wanampenda waende wakampe urais kwenye nchi zao... hapa kwetu John Pombe Magufuli anatoshaaaa
Sawa kwani mimi nimebisha ndugu!?,subiria lissu achukue nchi saa 12 asubui siku ya uchaguzi ataifutilia mbali tume ovu ya tz.Kwa taarifa yako kuanzia Magufuli, mpaka tume yenyewe wamejua fika kwa sasa wananchi wanawaonaje. Zile chaguzi zote walizokuwa wanawafanyia figisu wapinzani imethibitika pasi na shaka kuwa ni hujuma. Huo ni ushahidi tosha kuwa tume ya uchaguzi sio huru.
Sema "umeyakubali wewe" usihusishe wengineyaani lissu anajisumbuatu aweke pingamizi lenye hoja nyepesi kiasi hicho halafu ashinde anaweweseka asubiri kufanya kampeni zisizo na manufaa mwqenzie anasubiri kuapishwa tu aliyofanya tumeyakubali
Sheria gani inamtaka hivo?Mbona Magufuli hajaenda kuyajibu? Hakutakiwa kuwasilisha utetezi, bali afike ofisini.
alisema picha ipo ile ya kampeni tunayoijua ya shati la kijani ,sihatumika sana na inahitajika picha miezi 3 kabla ya kampeni kwa mujibu wa sheria ya NEC ila sikio halionekani kaangalia upande so haikizi vigezo vya passport size kuonekana uso na masikio au ndugu hujui kiswahili? pili kugongewa mihuri na watu wa majimbo ni kosa kwa mujibu wa sheria za NECYako NEC ulitaka waKuletee nyumbani kwako?
Halafu wewe unamwamini Lisu fomu Ina Hadi sehemu ya kubandika picha unaamini kweli kuwa picha haulikubandikwa?
Lisu anatafita kiki kwenye media kwa.kila hali hata kwa kutunga vitu vidogo vya uongo
Lisu mwaka huu tutamfundisha adabu kwamba hako kabeberu kake hatukaogopiMbuzi jike wewe unamtegemea Mkoloni kaburu mweusi toka chato lakini anayeishi chamwino?
kwa hoja za lissu hata mimi nisiyejua sheria naona NEC wamejibu kama malaymen wa mtaani nilitarajia wapangue hoja zake kwa vifungu wamejiandikia tu,daaaSheria gani inamtaka hivo?